Kesho mapumziko

wabongo kwa kupenda kulala huku shilingi inapotea sokoni
 
Naona huu jamaa anataka kupotosha watu tu hapa. Hayo ya kulipiza yalishapitwa na wakati.

BTW......mzima lakini wewe?

Mie Mzima kabisa Madame Keren Happuch.....thanks for asking, na wewe je ukoje? Nimefurahi kukuona nilipita jana mtaani kwenu nikakuta taa zimezimwa nyumbani πŸ™‚πŸ™‚ sijui uliamua kulala mapema au ulienda kujirusha sehemu sehemu πŸ™‚πŸ™‚ Nadhani kesho ni siku ya kazi, hili la kusogeza sikukuu zinazoangukia Jumapili siku moja baadaye lilishafutwa miaka mingi.
 
Niko mzima BAK. Pole kwa kunikosa jana. Yaani hujakosea kabisa.,uliachiwa maarifa na yule mheshimiwa?....πŸ™‚
Nakutakia jioni njema.
 
Reactions: BAK
Niko mzima BAK. Pole kwa kunikosa jana. Yaani hujakosea kabisa.,uliachiwa maarifa na yule mheshimiwa?....πŸ™‚
Nakutakia jioni njema.

Mheshimiwa namtafuta kwa simu zaidi ya wiki sasa, napiga hata mara tatu au zaidi kwa siku lakini mara zote simu yake inaelekea huwa imefungwa. Naomba mtaarifu kwamba naomba tuwasiliane πŸ™‚...nawe nakutakia usiku mwema.
 
Halafu jifunze mambo ya Sarufi, Silabi, Aya n.k.
Si ungeweka alama ya kuuliza tujue kua we mwenyewe hujui?!!!
 
tushalala sana kesho tuna hamu ya kuingia makazini kuzisaka,wasituletee mdororo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…