Jamani jaribuni kidogo kuweka sawa hili neno (jina) Makonda, manake kuna watu naona tumewaacha njia panda, wanaposikia Makonda wao wanadhani ni makondakta wa mabus na daladala. Ngoja huyu jamaa mkuu wa wilaya ya kinondoni tumwite tu Mh. Makonda, nadhani wataelewa sasa.