Wanabodi kama ilivyo ada kesho mgombea urais kupitia cdm/ukawa mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa anaingia mkoani mtwara na lindi kuifuta rasmi ccm na wana kusini wameahidi kutofungua maduka yao ili kuonyesha na kushiriki mapokezi ya aina yake kwa rais wao mtarajiwa.
Naskia chato wamesema eti alijinyea ktk ardhi ya wana chato kuna ukweli wa hili hayo yote ni mkutano wa Leo pale chato uwanja wa nyumbani
MuongoAma kweli mwaka huu huu mambo.Wafanyabiashara Mtwara tuliokubali kufunga maduka kila mtu amelipwa Mara 3 ya anachouza kwa siku.Hivi Lowassa anapata wapi pesa?
Mara kuna rafiki yako anakupa hizo habari mara pale chato nyumbani mara msukuma mbunge Geita mjini.Na ukasema Lowassa alijinyea stand Geita wakati aliondoka uwanjani kwa helkopter.Mbona kama ***** flani wewe?Au unapigika paipu?
Mnashinda mitandaoni mnadanganyanaaa weeeeeeee kuipata nafasi unaandika Kama mwehu tuu ,hivi Wewe unaijua Tanzania vizuri au unajiandikiaaaa tu u kila maharage
Mnashinda mitandaoni mnadanganyanaaa weeeeeeee kuipata nafasi unaandika Kama mwehu tuu ,hivi Wewe unaijua Tanzania vizuri au unajiandikiaaaa tu u kila maharage
wanabodi kama ilivyo ada kesho mgombea urais kupitia cdm/ukawa mheshimiwa edward ngoyai lowasa anaingia mkoani mtwara na lindi kuifuta rasmi ccm na wana kusini wameahidi kutofungua maduka yao ili kuonyesha na kushiriki mapokezi ya aina yake kwa rais wao mtarajiwa.