shingwengwe
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 1,152
- 125
Yamewashinda ya Jimbo la Kalenga pamoja na kutumia helikopta kwa vile mikutano yao ilikuwa inajaa watoto kwa sasa wanataka wakakusanye watu angalau Iringa Mjini ili walete picha kwenye media mbali mbali kuonyesha kuwa wanakubarika Iringa.
Sera ya CHADEMA ya kuonyesha umati wa watu kama kigezo cha kukubalika imegonga mwamba katika Jimbo la Kalenga na wanachotaka ni kwenda Iringa Mjini ili kuifufua.
Nitashangaa sana kama picha za mkutano wao wa kesho Iringa Mjini hazitajaa kwenye media na hasa hapa Jf kwa sababu kujaza watu kwenye mikutano inayofanyika makao makuu ya mkoa siyo tatizo kwa vile mkutano ni sehemu ya leisure activities.
Huwezi kufanya maamuzi ya kibaguzi ndani ya chama na usalimike mbele ya Law of Karma. Law of Karma inakitafuna CHADEMA kwa sasa pole pole kama ilivyoonyesha kwenye chaguzi za madiwani tarehe 09/02/2014
Ulaghai wa kisiasa umeanza kufika mwisho.
kazi ya kalenga tumemaliza,Bi Grace anasubiri kuapishwa tu!!! mwingereza kwisha habari yake!!!!
Mkuu Ritz
Wamekimbia Kalenga?
Hii misuba mnavutia wapi??? Chopa zimeshindwa kuvutia watu viongozi wako wamekimbia Kalenga wamechoka kuhutubia watoto!
haha!ha!! mkuu mbavu zangu hadi za mgimwa kapiga jamaa fundi kumbe mambo hayo!
Matumiz ya chopa n janga kwa ccm, kwan kwa cku inawawezesha makamanda kushriki zaid ya mikutano 8 ili lilitanabaishwa na mh! Mbowe jana kwenye mkutano uliofanyka uwanja wa Mwembetogwa ccm waja na propaganda eti chopa inamwaga sumu inayopunguza nguvu za kiume.
Mkuu chamaMkuu Ritz
Mbowe msanii alijua wazi Kalenga ngoma nzito; huyo atafia mapajani kwa kimada hana jipya tunamsubiri Chalinze kama anao ubavu.
Mkuu chama
Chalinze habari ingine yule mmasai atajuta kugombea.
Chadema inawategea Mohamedi Mtoi na Yericko Nyerere, huyu Mwita Maranya kaishakata tamaa.