MALI YA BABA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 459
- 119
Kuna gari ya CHADEMA ya matangazo inapita jioni hii, kutakuwa na mkutano wa CHADEMA kesho jioni kwenye viwanja vya Mwembetogwa makamanda Godbles Lema na makamanda wengine watakuwepo hapo kuhutubia!
Karibu sana!
Karibu sana!