Kesho Iddi?

Hivi mwezi unamaana gani ktk sikukuu ya IDD?
Mwezi kuchomoza nikielezo kuwa mmeingia mwezi mpya wa zamani mmeumaliza...Sasa idd hii yenyewe inapatikana mwezi mwingine na sio mwezi ule wa Ramadhan kwa mwezi ndio kiashilio kikubwa kua mwezi imeisha umeingia mwezi mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…