Kesho anatoka nani bungen mh ndungai!!

Kesho anatoka nani bungen mh ndungai!!

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,674
Reaction score
37,852
Kwako mh ndungai

kwa mheshima na taadhima ninaomba kujua kesho anatoka nani huko bungeni najua ni mbinu endelevu lakini ukiwa kama ndugu wa karibu ukijitayarisha.

kwa aibu ya kesho kwenye mahojiano na mbaya wako ni vyema ukatujuza mh kesho anatoka nani bungeni, wana akulinde ila laana ya kumwacha mkeo akiuza matunda njiani mungu hatokuacha
mpendwa fanya yoteee lakini baibo iko wazi ole wake amtesaye mke wa ujana wake
huyo kizee ulie nae anasubiri ukifa aulizie ppf yako/nssf watu wasonge mbele.
 
kama kesho unamaanisha 2015 basi watatoka wanamagammba wote
 
Nadhani kilichobaki ni siku moja Ndugai atoke akiwa kwenye machela baada ya kipigo............
 
Back
Top Bottom