Salaaam kwanza
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka nimekuwa nikikutana na kero ambazo zinaniumizaga moyoni
1.watu wengi wamekuwa wakipenda kudharau thread ziwekwazo na watu wakijifanya wajuaji wa mambo hawa kiukweli wananikera sana
2.nakuja kwa hawa watu wanasemaga eti jf ya zamani haikuwa hivi au jf imeshuka hadhi basi muwe mnantoa na sababu za kuwa hivyo na ushauri pia mnakeraaaaaa sana
wewe je ni kero gani inayokukabili?