nakurud shule unasubiri nini?Nimetoka kapa
hata sasa hivi ukiniambia mm unaumwa hivyo ntakwambia endelea kulalanikiwa highschool
Watchman: Amkeni muende morning preps
Me: Mimi ni mgonjwa
Watchman: Unaumwa na nini hio??
Me: Binomial Nomenclature
Watchman: Eh, lala tu kijana. Hio kitu ni
mbaya.
Imeuwa
watu South Africa
Hahahaa mbona alijua ugonjwa umeua watu wengi South Africahata sasa hivi ukiniambia mm unaumwa hivyo ntakwambia endelea kulala
sembuse huyo mlinzi..mlikua mnamuonea huyo mzee wa watu tu..