Nimekosekana hewanI miezi miwili Leo nimeiweka kwenye sim nashangaa haipandishi network,kufuatilia huduma Kwa wateja wananiambia bila aibu inamilikiwa na mtu mwingine
ebhn tigo wamerudisha lile bundle la chuo km kawaida aisee..na inapatikana km kawaida ktk menu yke*148*00#...kelele zimesaidia aisee ..naona walikuwa wanatingisha kberiti
Mpaka vocha wanaiba wajinga hawa, Jana asubuhi niliweka 1500 mpaka SAA 6 mchana nilikuta 1200 na sikuongea wala kumtxt mtu yoyote na wala sijajiunga na ushemzi wao wa nyimbo za miito.