Hizi hapa ni kero za kudumu hapa nchini. Hapa nitataja zile ambazo zinaendane na maisha bora kwa kila mtu.
Kero:
1. Ukosefu wa maji safi na salama: Kama nchi bado tumechemka sana.
2. Miundombinu ya barabara
3. Elimu: Hapa kuna shida kubwa.
4. Huduma hafifu za afya
5. Umeme:
6. Uhuru wa kujieleza, kutoa maoni: watu wanaogopa kuongea
7. Nyumba/makazi:
Hizo ni baadhi tu, ila zipo nyingi