Kero yangu juu ya Salamu...

Kero yangu juu ya Salamu...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,573
Reaction score
3,255
samahani kwa kuwachosha wakuu,hi kitu kwangu ni tatizo sana na ina nikera.na amini watanzania tumeumbwa na maadili ukutanapo na mtu mkubwa wako au mdogo wako kumsalimia ni jambo la kawaida,inakuaje unakutana na mtu unamjua kabisa kakuzidi umri hata unaweza kuwa mtoto wake una mpa heshima yake...SHIKAMO MZEE AU SHIKAMO MAMA nakuangalia afu anakwambia mambo?dah shida kweli...pia unapita mahali kwa roho safi unasalimia.watu hawaitiki afu unasikia huku nyuma jamaa mbona anapenda kusalimia sana au anajipendekeza...ukiwachunia utasikia jamaa anajisikia sana,wanadamu mfanyiwe lipi jemaa...kuazia leo nimeamua kutosalimia cse hainiongezei kitu wala hainipunguzi kitu...niayo tu
 
Unajua maana ya shikamoo??nipo chini ya miguu yako..
Subiri na wewe uanze kuzikataa shikamoo ndo utaelewa maana yake.
opps kwanza nilisahau...marhabaaaaaaa mtoto mzuri hujambo?
 
Pole sana dunia siku hizi imebadilika kila mtu ana taka aonekane mtoto!
 
Unajua maana ya shikamoo??nipo chini ya miguu yako..
Subiri na wewe uanze kuzikataa shikamoo ndo utaelewa maana yake.
opps kwanza nilisahau...marhabaaaaaaa mtoto mzuri hujambo?
sijamboo unajua na wewe maanaake
 
mkuu wakwanza ni huyo hapo zion...

Teh teh teh...Mie nimekueleza hali halisi...ndio maana naipenda lugha ya malkia.. gmorning,hi. tosha kabisa hata kwa baba yako.. sasa huku bongo shikamoo nyingi na mpaka upige magoti kabisa hata kama upo posta mjini kati
 
Si afadhali na hilo! Je? Ni vipi pale kijana wa kiume umsalimiapo bi.mkubwa aliekuzidi umri ukimpa mkono anakukuna na ukucha wa kidole ndani kwa ndani ya kiganja.
Na kwa msichana kumsalimia m'baba mtu mzima nae kufanyiwa mkuno wa style hiyohiyo!
Unaisemeaje hii?
 
Unajua maana ya shikamoo??nipo chini ya miguu yako..
Subiri na wewe uanze kuzikataa shikamoo ndo utaelewa maana yake.
opps kwanza nilisahau...marhabaaaaaaa mtoto mzuri hujambo?

mamie lugha hubadilika kutokana na jamii na wakati, enzi hizo ilikua na hiyo tafsiri bt not now, ni ujeuri wetu na kujitoa ufaham tunajustify watu waache kuitumia hii salaam
 
salamu ya SHIKAMOO inahitaji marekebisho makubwa. imepitwa na wakati.
 
Ukiona hivyo ujue kuna tatizo. Kuna baadhi ya watu hawataki kukubali kuwa wamekula chumvi nyingi. Imefikia mahali hata watu wanaficha umri wao hasa wanapokuwa wakiadhimisha siku zao za kuzaliwa utasikia jitu bila aibu linasema natimiza miaka kadhaa. Unadhani hata ujidanganye vipi hutazeeka? Mie nashauri watu kama hao uwaghasi na shikamoo hadi wakome. Ni ulimbukeni na ushamba kukwepa heshima unayostahiki hasa kutokana na umri wako. Hata wakificha umri au kukataa shikamoo wanadhani watarudi nyuma kiumri? Shame on them!
samahani kwa kuwachosha wakuu,hi kitu kwangu ni tatizo sana na ina nikera.na amini watanzania tumeumbwa na maadili ukutanapo na mtu mkubwa wako au mdogo wako kumsalimia ni jambo la kawaida,inakuaje unakutana na mtu unamjua kabisa kakuzidi umri hata unaweza kuwa mtoto wake una mpa heshima yake...SHIKAMO MZEE AU SHIKAMO MAMA nakuangalia afu anakwambia mambo?dah shida kweli...pia unapita mahali kwa roho safi unasalimia.watu hawaitiki afu unasikia huku nyuma jamaa mbona anapenda kusalimia sana au anajipendekeza...ukiwachunia utasikia jamaa anajisikia sana,wanadamu mfanyiwe lipi jemaa...kuazia leo nimeamua kutosalimia cse hainiongezei kitu wala hainipunguzi kitu...niayo tu
 
lugha ya malkia ya nini, kuna salamu ya kiswahili nzuri sana " habari......" tutengeneze kiswahili chetu achana na kizungu.
Back to topic b real salimia tu usichoke.
 
Mtoto wa mwenzio Mkubwa mwezio, unamsalimia shikamoo unataka kumnyima nn huyo Bimkubwa? au huyo Dingi?
 
lugha ya malkia ya nini, kuna salamu ya kiswahili nzuri sana " habari......" tutengeneze kiswahili chetu achana na kizungu.
Back to topic b real salimia tu usichoke.
mkuu bora niwape uso wa mbuzi tu
 
tatizo hiyo kaya unopuliza ndo inakufanya uwe unasalimia salimia sana, mi najua mkuu
 
wenyewe wanasema shikamoo makelele! pesa heshima mh...............
we wape shikamoo mpaka wakwaambie hatutaki salamu yako.
 
goodmorning -habari za asubuhi
gooafternoon - habari za mchana
goodevening - habari za jioni.

tumia hizo zinatosha sana. mambo ya shikamoo yamepitwa na wakati. ndizo ninazotumia hata nikutane na babu yangu.
 
samahani kwa kuwachosha wakuu,hi kitu kwangu ni tatizo sana na ina nikera.na amini watanzania tumeumbwa na maadili ukutanapo na mtu mkubwa wako au mdogo wako kumsalimia ni jambo la kawaida,inakuaje unakutana na mtu unamjua kabisa kakuzidi umri hata unaweza kuwa mtoto wake una mpa heshima yake...SHIKAMO MZEE AU SHIKAMO MAMA nakuangalia afu anakwambia mambo?dah shida kweli...pia unapita mahali kwa roho safi unasalimia.watu hawaitiki afu unasikia huku nyuma jamaa mbona anapenda kusalimia sana au anajipendekeza...ukiwachunia utasikia jamaa anajisikia sana,wanadamu mfanyiwe lipi jemaa...kuazia leo nimeamua kutosalimia cse hainiongezei kitu wala hainipunguzi kitu...niayo tu

Kwani salamu lazima?
 
Back
Top Bottom