samahani kwa kuwachosha
wakuu,hi kitu kwangu ni tatizo sana na ina nikera.na amini watanzania
tumeumbwa na maadili ukutanapo na mtu mkubwa wako au mdogo wako
kumsalimia ni jambo la kawaida,inakuaje unakutana na mtu unamjua kabisa
kakuzidi umri hata unaweza kuwa mtoto wake una mpa heshima
yake...SHIKAMO MZEE AU SHIKAMO MAMA nakuangalia afu anakwambia mambo?dah
shida kweli...pia unapita mahali kwa roho safi unasalimia.watu
hawaitiki afu unasikia huku nyuma jamaa mbona anapenda kusalimia sana au
anajipendekeza...ukiwachunia utasikia jamaa anajisikia sana,wanadamu
mfanyiwe lipi jemaa...kuazia leo nimeamua kutosalimia cse hainiongezei
kitu wala hainipunguzi kitu...niayo tu