Kero ya wapiga debe wa magari Ubungo

sam leon

JF-Expert Member
Jan 29, 2017
890
1,189
Ebhanah hii ni hatari,leo nkasema nisogee mkoa kidogo nikawacheki ndugu,jamaa na marafiki,ila kufika ubungo yani hawa wapiga debe ni kero unagombaniwa kama mpira wa kona

Dah yani kero kinoma!!!!
 
Back
Top Bottom