Kero ya wanaosafiri mikoani na magari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kero ya wanaosafiri mikoani na magari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Inkoskaz, Jun 9, 2011.

 1. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Humps/Bumps
  Why substandard in this things?
  mengine kama mlima
  mengine kama vyuma vya reli.magumu hayo!
  mengine marefu
  mengine hayana hata alama
  basi ukisafiri njia nzima ni kero,na yanawaste time kweli
  kama pale wami immediate after bridge kuna tuta sasa najiuliza semitraler imetoka tanga imeload cement inabidi ianze gia upya matokeo inafail na kurudi nyuma.alama za barabarani na elimu kwa watumiaji barabara(drivers,cyclist,pedestrians) ni muhimu sio kila akigongwa mzembe mmoja basi panajengwa tuta
  enyi wakazi wa mijini na kando ya bararbara magari yanaua,wafundeni wanenu kuyaogopa kama watoto wa kijijini wanavyofundwa kumuogopa mnyama mkali!
  Najua magufuli na pia Mfugale(Tanroad CEO) mnapita humohumo mkienda Dodoma nk
  Je matuta ni suluhisho?
  Nawasilisha!
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkuu umenena kunasiku nilitaka kuanzisha thread hapa kuwa barabara yenye humps nyingi kuliko zote ni ile ya kutoka Himo - Moshi Mjini, ikifuatiwa na ya kutoka Segera - Tanga kwa mtazamo wangu. Kama unatakwimu nyingine tafadhali tuwekee ili tujue nasi.
  Yaani humps hizi ni kitisho kwanza ni kubwa kuliko maelezo na mengine ni kama ulivyosema zinapoteza muda, kuharibu magari n.k
   
 3. amanindoyella

  amanindoyella Senior Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Niliwahi kumsikia Magufuli akiagiza ziondolewe hususan za kwenye service road lakini mpaka leo sijaona juhudi zozote zinazofanyika kuhusu hivi vikwazo vya barabara. nafikiri maagizo haya yanakuwa yamekaa kisiasa sana kuliko uhalisia wake! nafikiri uwajibikaji ni tatizo ya msingi hapa Bongo! sijui tatafika lini? mungu bariki TZ
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Mkuu ukienda Iringa hapo mikumi utachoka,kama una manual car bas tab tup,kama ukienda Dodoma ndo usiseme hapo kongwa yameongozana kama milima ya udzungwa!
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Mkuu sijui na hao Tanroad manager wanazipasisha kwa kigezo gani?
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135


  Humps/Bumps, pia huitwa "Sleeping Police"
   
 7. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  hawa sleeping police hawana hata relective signs
   
Loading...