A
Anonymous
Guest
Mimi ni mkazi wa Newala vijijini tumekuwa tukipata changamoto kubwa ya mgao wa umeme huku mamlaka husika zikishindwa kutoa sababu za mgao, kuna nyakati umeme unaweza ukakata hata siku 3 huku ukipiga kuuliza changamoto wanakosa majibu hivo tunaomba wajirekebishe kwani wanakwamisha shughuli za maendeleo.