Daah hebu tuanzie hapaHakuna simu kama tecno dunia hii nitajie simu yoyote ya samsung unayoweza kulinganisha camera na tecno cm au tecno k7 au simu yoyote ya Samsung yenye kioo bora kuizidi tecno cm
Unafurahia ram kubwa na rom wakati mashine yake ni mediatek, tena unakuta mediatek p22[emoji3][emoji3] inakaaga kwenye simu za laki na nusu kule china, ila tecno ndio anaweka kwenye flagship zake kama phantom 8, 9[emoji3][emoji3]
iPhone X ina RAM ya 3GB na 12MP ya camera tuu lakini hauwezi kui compare na hiyo techno yako hata kidogo kwa uwezo.View attachment 1270642View attachment 1270643
Halafu eti kuna mtu anapayuka Tecno ni Tecno.
Tatizo la wabongo wengi hamjui specifications za simu mnazozitaka bali alimradi simu kali. Na simu kali mnazozijua eti sifa ya kwanza lazima iwe ya kampuni kubwakubwa kama Samsung, Apple, LG, Nokia, Microsoft. Shubaamit!!!
Jifunzeni kufanya analysis ya bidhaa kwa ubora wake na si kwa majina.
Pia kwenye kununua simu kila mtu anatumia factors zake anazozijua ikiwamo urefu wa mfuko na quality ya simu anayoitaka.
Manup!!![/b]
samsung j1
Daah hebu tuanzie hapa
Unafahamu Superamoled Display wewe?
Yaani unasema simu bora ni yenye IPS screen??
Unaweza linganisha camera ya Samsung S10 na camera ya Tecno k7??
Take a simple comparison between Hiyo Tecno Cm na Samsung A30
Halafu uache kuongea usiyoyajua utaaibika.View attachment 1284238View attachment 1284239
Linganisha na specs za samsung A30 hapo hasa upande wa kioo uliposema kwamba hakuna kioo bora kuzidi Tecno Cm
View attachment 1284241View attachment 1284242
Kipato huleta majivunoTecno siyo simu, ni mfano wa simu kwa ajili ya kusaidia maskini.
Kipato huleta majivuno
umasikini sio kilema mzee,ukiona mtu anaringia utajiri ujue ametafuta amepata.Kipato huleta majivuno
Tekno POVU [emoji16][emoji16][emoji16]Hilo jina la simu ukienda shop unasema naomba Tekno POVU.
Au unaiwekea swaga kiaina mkuu inaitwa TEKNO POVUUUUUUU.Tekno POVU [emoji16][emoji16][emoji16]
Moja ya TECNO ninazozikubali ni ni hiyo TECNO CM japo siwezi tecno kutumia kwa sababu ya jina tu. Bora hata motorola
Hivi ni samsung gani toleo jipya ambayo ni portable yenye full screen less than 6''
Kuna Tecno kali zinafanyakazi vizuri kama Sumsung usichukulie poa Tecno. Kuna Tecno hata bei yake uigusi!
Design au muonekano,screen ya 5.7'' sipendi masimu makubwa,kioo(touch),batteryKwanini unaikubali hiyo simu