Kero ya Tecno

Karibuni natumia tecno pop 2. Napenda kutumia vitu ambavyo ni common , huduma zipo katika kidole changu. I hate iPhone. I don't like uniqueness. Pc natumia Acer aspire . I don't like apple. Coiz maintenance are simple, application , sharing of software kwa Nini nijitese na macbook. Wakati Mambo ni simple
 
Kwaio Mkuu TECNO sio TECNO kumbe Basi mi natamka mdogo mdogo TECNO NI iPHONE tena 11 Pro
 
Haziko sawa hizo simu.
 
Ficha upumbavu wako hakuna milionea anayetumia tecno
 
Mkuu, sio Mediatek zote ni mbovu asee, kuanzia Helio P60 na hii mpya G90 ni nzuri asee!!
Japo kati ya hizo Tecno hajatumia hata moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tofauti na security na operating system, iphone ni sawa na tecno
 
Refurbished nyingi ni majanga sugu.

Niliwahi kununua Xiomi Redmi5 refub.

Kila muda watakiw utembee na power bank,
Na ukiichaji kidogo tu inashika joto utadhani ni pasi.
Ulikosea sana kuagiza refurb phone toka china/asia.refurb agizia ulaya(amazon,ebay) ndo utadumu nayo
 

Hakuna simu kama tecno dunia hii nitajie simu yoyote ya samsung unayoweza kulinganisha camera na tecno cm au tecno k7 au simu yoyote ya Samsung yenye kioo bora kuizidi tecno cm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…