Kabisa natoa pesa yangu nanunua upuuzi unaoitwa tecno. ?
Haya
Unafurahia ram kubwa na rom wakati mashine yake ni mediatek, tena unakuta mediatek p22[emoji3][emoji3] inakaaga kwenye simu za laki na nusu kule china, ila tecno ndio anaweka kwenye flagship zake kama phantom 8, 9[emoji3][emoji3]
Mimi nina Kitechno changu nakula masafa kama kawa na apps zote zipo na nikicharge asubuhi mpaka jioni na muda wote niko hewani kwenye internet kamera yake ukipiga mpaka kichunusi kitaonekanahuu ni umasikini tu, tecno hazifai kwa matumizi ya binadamu
Mimi nina Kitechno changu nakula masafa kama kawa na apps zote zipo na nikicharge asubuhi mpaka jioni na muda wote niko hewani kwenye internet kamera yake ukipiga mpaka kichunusi kitaonekana
Sikiliza, mimi siyo kwamba ni maskini, ninachojali je simu ina functions zote ninazohitaji, je simu iko fast, je simu inatunza charge, je nikipiga simu nikalinganisha na wa Sumsung na iPhone tuko sawa? nikiona tuko sawa ya nini kununua iPhone ambayo inachagua baadhi ya apps?siku umasikini ukikuisha ndio utakuja elewa maana yangu
samsung, iphone utazipenda sana mkuu
Wewe unayeita watu maskini una utajiri gani. Hujui watu unaoongea nao unakimbilia kuita watu maskini. Uelewe watu wote humu siyo level yako. Watu mamilionea umu na wanatumia Tecno unayoita ya watu maskini. Kuwa na simu ya pesa kubwa siyo utajiri bali ni ulimbukenisiku umasikini ukikuisha ndio utakuja elewa maana yangu
samsung, iphone utazipenda sana mkuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]kapigwa laki 6 huyo[emoji16][emoji16]
Kweli hata MO anatumia TecnoWewe unayeita watu maskini una utajiri gani. Hujui watu unaoongea nao unakimbilia kuita watu maskini. Uelewe watu wote humu siyo level yako. Watu mamilionea umu na wanatumia Tecno unayoita ya watu maskini. Kuwa na simu ya pesa kubwa siyo utajiri bali ni ulimbukeni
Mkuu karibu Nokia Family..Refurbished nyingi ni majanga sugu.
Niliwahi kununua Xiomi Redmi5 refub.
Kila muda watakiw utembee na power bank,
Na ukiichaji kidogo tu inashika joto utadhani ni pasi.
Pouvoir 3 ,180,000? Maybe......ila najua ni 200,000+Last week nilienda Kariakoo. Kila simu kali ninayoulizia inaanzia 400,000 na kuendelea.
Wakati natoa hela mfukoni ili ninunur simu aina ya Oppo au Samsung ambazo nilimwambia yule dada aniwashie nizichrck specifications zake, ghafla sauti ikanijia kichwani ikisema "kumbuka unadaiwa hela ya pango tangu Septemba,Safari hii mwenye nyumba hatokuvumilia".
Hapo hapo, nikarudisha kiasi kinginr cha oeda mfukoni, nikachukua 180,000 nikampa yule dada wa dukani nikamwambia "Nipatie Tecno Pouvoir 3 Air niwahi nyumbani".
Akanipa nikadownload:
-Gallery
-File Manager
-Notebook na
-Calender
(Maana yake havikuwepo kwenye simu)
Ndio naitumia hapa, kazi yangu ni kupokea manotification kila nikiwasha data.
View attachment 1270642View attachment 1270643
Halafu eti kuna mtu anapayuka Tecno ni Tecno.
Tatizo la wabongo wengi hamjui specifications za simu mnazozitaka bali alimradi simu kali. Na simu kali mnazozijua eti sifa ya kwanza lazima iwe ya kampuni kubwakubwa kama Samsung, Apple, LG, Nokia, Microsoft. Shubaamit!!!
Jifunzeni kufanya analysis ya bidhaa kwa ubora wake na si kwa majina.
Pia kwenye kununua simu kila mtu anatumia factors zake anazozijua ikiwamo urefu wa mfuko na quality ya simu anayoitaka.
Manup!!![/b]
Kwahyo hii ni Tecno[emoji2369]Kweli hata MO anatumia Tecno
Muda si mrefu itaanza kujiwasha tochi yenyewe tu ukiwa umeiweka mfukoni,unashangaa tu paja linachomwa chomwa.View attachment 1270642View attachment 1270643
Halafu eti kuna mtu anapayuka Tecno ni Tecno.
Tatizo la wabongo wengi hamjui specifications za simu mnazozitaka bali alimradi simu kali. Na simu kali mnazozijua eti sifa ya kwanza lazima iwe ya kampuni kubwakubwa kama Samsung, Apple, LG, Nokia, Microsoft. Shubaamit!!!
Jifunzeni kufanya analysis ya bidhaa kwa ubora wake na si kwa majina.
Pia kwenye kununua simu kila mtu anatumia factors zake anazozijua ikiwamo urefu wa mfuko na quality ya simu anayoitaka.
Manup!!![/b]
Haya kunywa mkuu huku ukipiga piga kifua upunguze machungu.Wewe unayeita watu maskini una utajiri gani. Hujui watu unaoongea nao unakimbilia kuita watu maskini. Uelewe watu wote humu siyo level yako. Watu mamilionea umu na wanatumia Tecno unayoita ya watu maskini. Kuwa na simu ya pesa kubwa siyo utajiri bali ni ulimbukeni
Hilo jina la simu ukienda shop unasema naomba Tekno POVU.Pouvoir 3 ,180,000? Maybe......ila najua ni 200,000+
Tafuta tecno c9, tecno camon xpro au Tecno phantom ulizia bei yake.Nitajie hyo Tecno na inapatkana duka gani?