Kero ya Tecno

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,643
Reaction score
4,185
Last week nilienda Kariakoo. Kila simu kali ninayoulizia inaanzia 400,000 na kuendelea.

Wakati natoa hela mfukoni ili ninunur simu aina ya Oppo au Samsung ambazo nilimwambia yule dada aniwashie nizichrck specifications zake, ghafla sauti ikanijia kichwani ikisema "kumbuka unadaiwa hela ya pango tangu Septemba,Safari hii mwenye nyumba hatokuvumilia".

Hapo hapo, nikarudisha kiasi kinginr cha oeda mfukoni, nikachukua 180,000 nikampa yule dada wa dukani nikamwambia "Nipatie Tecno Pouvoir 3 Air niwahi nyumbani".

Akanipa nikadownload:
-Gallery
-File Manager
-Notebook na
-Calender

(Maana yake havikuwepo kwenye simu)

Ndio naitumia hapa, kazi yangu ni kupokea manotification kila nikiwasha data.
 
Hiyo pesa ungeagiza refurbished ukaja kuuzia sura mtaani kwenu
 
Hiyo siyo Tecno. Tangu nianze kudeal na simu simu pekee ambazo ukinunua fresh hukuti baadhi ya vitu ni zile simu ambazo ni Chinese Version.

Hautakuta Playstore, kama kuchezea simu hujui lazima ushindwe kuweka Whatsapp, FB, Instagram, Twitter na Youtube. Utakuta browser yake search engije by default ni ya huko china.

Pia kuhusu kupokea matangazo ukiwasha data ni mara moja tu nilikutana na Tecno ina ishu hiyo baada ya uchunguzi nikakuta ina kirusi, ila infinix ina hiyo issue same na samsung iliyoanzishiwa uzi na mdau mmoja humu.
 
[QUOTE="Castr acha ubishi baadhi ya Tecno hazina baadhi ya application muhimu za simu.
 



Halafu eti kuna mtu anapayuka Tecno ni Tecno.

Tatizo la wabongo wengi hamjui specifications za simu mnazozitaka bali alimradi simu kali. Na simu kali mnazozijua eti sifa ya kwanza lazima iwe ya kampuni kubwakubwa kama Samsung, Apple, LG, Nokia, Microsoft. Shubaamit!!!

Jifunzeni kufanya analysis ya bidhaa kwa ubora wake na si kwa majina.

Pia kwenye kununua simu kila mtu anatumia factors zake anazozijua ikiwamo urefu wa mfuko na quality ya simu anayoitaka.

Manup!!![/b]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…