Kero Ya Mpaka Kati Ya Kenya Na Tanzania Kupatiwa Ufumbuzi

kiwenini

Member
Nov 25, 2018
73
43


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akiwa Kenya na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akiwa Tanzania wakiwa wameshikana mikono kudhihirisha changamoto ya Mpaka huo uliopo Jasini Mkinga Mkoani Tanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…