lugoda12 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 314 Reaction score 647 Oct 22, 2024 #1 Hili tatizo la maji katika baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam limenifanya nikumbuke kipindi cha utawala wa Rais awamu ya nne (4). Ni zaidi ya siku kama sio 4 na 5 maji hakuna, vipi huko kwenu?! 🙆🏾♂️🤔
Hili tatizo la maji katika baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam limenifanya nikumbuke kipindi cha utawala wa Rais awamu ya nne (4). Ni zaidi ya siku kama sio 4 na 5 maji hakuna, vipi huko kwenu?! 🙆🏾♂️🤔
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,272 Reaction score 144,438 Oct 22, 2024 #2 2024 upatikanaji wa maji bado ni changamoto? Low IQ Bantus…..
U Umsumbalembe JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 943 Reaction score 869 Oct 22, 2024 #3 lugoda12 said: Hili tatizo la maji katika baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam limenifanya nikumbuke kipindi cha utawala wa Rais awamu ya nne (4). Ni zaidi ya siku kama sio 4 na 5 maji hakuna, vipi huko kwenu?! 🙆🏾♂️🤔 View attachment 3132661 Click to expand... Mbezi mwisho hakuna maji toka tarehe 16.10.2024.DAWASA semeni kidogo pupate matumaini.
lugoda12 said: Hili tatizo la maji katika baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam limenifanya nikumbuke kipindi cha utawala wa Rais awamu ya nne (4). Ni zaidi ya siku kama sio 4 na 5 maji hakuna, vipi huko kwenu?! 🙆🏾♂️🤔 View attachment 3132661 Click to expand... Mbezi mwisho hakuna maji toka tarehe 16.10.2024.DAWASA semeni kidogo pupate matumaini.
Madihani JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 6,325 Reaction score 7,533 Oct 22, 2024 #4 Mbezi Louis tangu wiki iliopita hakuna maji.
U Umsumbalembe JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 943 Reaction score 869 Oct 22, 2024 #5 lugoda12 said: Hili tatizo la maji katika baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam limenifanya nikumbuke kipindi cha utawala wa Rais awamu ya nne (4). Ni zaidi ya siku kama sio 4 na 5 maji hakuna, vipi huko kwenu?! 🙆🏾♂️🤔 View attachment 3132661 Click to expand... Mbezi mwisho hakuna maji toka tarehe 16.10.2024.DAWASA semeni kidogo .
lugoda12 said: Hili tatizo la maji katika baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam limenifanya nikumbuke kipindi cha utawala wa Rais awamu ya nne (4). Ni zaidi ya siku kama sio 4 na 5 maji hakuna, vipi huko kwenu?! 🙆🏾♂️🤔 View attachment 3132661 Click to expand... Mbezi mwisho hakuna maji toka tarehe 16.10.2024.DAWASA semeni kidogo .
A Angada JF-Expert Member Joined May 19, 2024 Posts 1,857 Reaction score 3,264 Oct 22, 2024 #6 Nyani Ngabu said: 2024 upatikanaji wa maji bado ni changamoto? Low IQ Bantus….. Click to expand... Ni aibu tokea tupate uhuru hadi leo bado upatikanaji wa maji salama ni changamoto alafu utasikia mtu anakwambia mi 5 tena. Unakaa unawaza hiyo mitano tena ya kuwa na shida kama hizo
Nyani Ngabu said: 2024 upatikanaji wa maji bado ni changamoto? Low IQ Bantus….. Click to expand... Ni aibu tokea tupate uhuru hadi leo bado upatikanaji wa maji salama ni changamoto alafu utasikia mtu anakwambia mi 5 tena. Unakaa unawaza hiyo mitano tena ya kuwa na shida kama hizo
V Vyamavingi JF-Expert Member Joined Oct 3, 2014 Posts 6,051 Reaction score 5,952 Oct 22, 2024 #7 lugoda12 said: Hili tatizo la maji katika baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam limenifanya nikumbuke kipindi cha utawala wa Rais awamu ya nne (4). Ni zaidi ya siku kama sio 4 na 5 maji hakuna, vipi huko kwenu?! 🙆🏾♂️🤔 View attachment 3132661 Click to expand... Halafu DAWASA wako kimya, EWURA wanasubiri kutangaa bei tu, uthibiti wa huduma bora kama vile haliwahusu. Vv
lugoda12 said: Hili tatizo la maji katika baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam limenifanya nikumbuke kipindi cha utawala wa Rais awamu ya nne (4). Ni zaidi ya siku kama sio 4 na 5 maji hakuna, vipi huko kwenu?! 🙆🏾♂️🤔 View attachment 3132661 Click to expand... Halafu DAWASA wako kimya, EWURA wanasubiri kutangaa bei tu, uthibiti wa huduma bora kama vile haliwahusu. Vv
A Angada JF-Expert Member Joined May 19, 2024 Posts 1,857 Reaction score 3,264 Oct 22, 2024 #8 Vyamavingi said: Halafu DAWASA wako kimya, EWURA wanasubiri kutangaa bei tu, uthibiti wa huduma bora kama vile haliwahusu. Vv Click to expand... Mamlaka za maji nyingi zina matatizo yanayofanana, maji hayatoki kwa wakati waziri husika afuatilie hizo mamlaka unakuta miundo mbinu ya maji ipo vzr, vyanzo vya maji hakuna ukame, bili znalipwa. Kwa nini maji yasitoke masaa 24
Vyamavingi said: Halafu DAWASA wako kimya, EWURA wanasubiri kutangaa bei tu, uthibiti wa huduma bora kama vile haliwahusu. Vv Click to expand... Mamlaka za maji nyingi zina matatizo yanayofanana, maji hayatoki kwa wakati waziri husika afuatilie hizo mamlaka unakuta miundo mbinu ya maji ipo vzr, vyanzo vya maji hakuna ukame, bili znalipwa. Kwa nini maji yasitoke masaa 24
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,173 Reaction score 111,099 Oct 22, 2024 #9 Nyani Ngabu said: 2024 upatikanaji wa maji bado ni changamoto? Low IQ Bantus….. Click to expand... Wenyewe wanakwambia mitambo imeharibika beyond repair, hivyo wanahitaji ku procure mitambo mipya ya kusafishia maji...
Nyani Ngabu said: 2024 upatikanaji wa maji bado ni changamoto? Low IQ Bantus….. Click to expand... Wenyewe wanakwambia mitambo imeharibika beyond repair, hivyo wanahitaji ku procure mitambo mipya ya kusafishia maji...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,173 Reaction score 111,099 Oct 22, 2024 #10 Maji hakuna na ajabu ni kwamba kuna waziri wa maji na mamlaka zake... Kipindi maji hakuna walipaswa wasipokee mishahara sababu huduma muhimu inayoumda wizara au ofisi waliopo haipo...
Maji hakuna na ajabu ni kwamba kuna waziri wa maji na mamlaka zake... Kipindi maji hakuna walipaswa wasipokee mishahara sababu huduma muhimu inayoumda wizara au ofisi waliopo haipo...
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 15,280 Reaction score 29,175 Oct 23, 2024 #11 Ukiwasikia vidampa wa yule mama humu wanavyosifia sasa. Aibu gani hiyo sasa jiji kubwa kukosa maji?