Kero ya madai ya vyeti feki

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
558
kila kukicha ni kero ya vyeti feki fulani ana vyeti vyeki hawataki kusema kama wana vyeti feki.
sasa kwa wanaosema wanavyeti feki sio mtoe ushahidi kuwa fulani fulani vyeti vyake feki hivi wekeni hadharani sio kutuhumu kila siku
 
Unakumbuka walisemwaga na Kalenubanga Msemakweli nini kilifanyika..wakuu walikaa kimya. Wanasiasa wengi ni waongo sana hasa wa hapa Bongo. Acha waendelee kushufumiana maana siasa imekuwa ndio shortcut ya kutajirika na sio kutoa huduma kwa wananchi.
 
Dogo hana vyeti kama anavyo kwa misifa yake angesaviweka mezani Wapige picha wachoke!! Dogo hana vyeti!!!!! Ni Tanzania pekeee ku forge vyeti ni jinai kwa wanyonge tuu wakubwa wana forge na wanalindwa
 
kila kukicha ni kero ya vyeti feki fulani ana vyeti vyeki hawataki kusema kama wana vyeti feki.
sasa kwa wanaosema wanavyeti feki sio mtoe ushahidi kuwa fulani fulani vyeti vyake feki hivi wekeni hadharani sio kutuhumu kila siku

Unaongelea vyeti fake kwa maana ni vyake lakini siyo sahihi.

Wanachoongelea vyeti si vyake amenunua toka kwa mtu mwingine yaani ameforge cheti,hiki ni cheti halali lakini si cha mtuhumiwa.

Anatakiwa approve jina lake kwa cheti cha darasa la saba,cheti cha kuzaliwa na vyeti vya wazazi wake.

Kwenye hili si rahisi sana kumconvince mtu hasa mwenye ushahidi against mtuhumiwa
Cha msingi akiri tu amenunua vyeti hana jinsi
 
Inamaana mpaka leo ndalichake hajasema kitu juu ya hii kadhia???
 
Nina mashaka Uhakiki wa vyeti feki umekufa kifo cha mende baada ya mtu fulani kutuhumiwa katumia vyeti vya mtu.
 
Kama mtu anatuhumiwa kuwa na vyeti feki, basi ili hizo tuhuma zisiendelee, atoe vyeti vyake aonyeshe umma ili umma ujiridhishe...
 
kila kukicha ni kero ya vyeti feki fulani ana vyeti vyeki hawataki kusema kama wana vyeti feki.
sasa kwa wanaosema wanavyeti feki sio mtoe ushahidi kuwa fulani fulani vyeti vyake feki hivi wekeni hadharani sio kutuhumu kila siku
Mbona wameweka wazi mkuu kuwa Daudi Bashite ndio mkuu wa Nkoa
 
TE="a4apple, post: 19887708, member: 312473"]Nina mashaka Uhakiki wa vyeti feki umekufa kifo cha mende baada ya mtu fulani kutuhumiwa katumia vyeti vya mtu.[/QUOTE]
Hiyo ni kweli nchi ilivyo yakinafiki hii hutamsikia tena Kairuki au Ndalichako wanaita press conference kuongelea vyeti feki watumishi walokumbwa na kadhia hii huko nyuma imekuwa bahati mbaya kwao, kwa sasa mwendelezo haupo maana zoezi limegusa mfupa.
 
Back
Top Bottom