KERO ya INTANETI ya TIGO

KERO ya INTANETI ya TIGO

Mzee makoti

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2016
Posts
4,594
Reaction score
6,663
Wakuu Wiki hii yote Tigo upande wa intaneti ipo ovyo,, ivi ni kwangu tu au hadi na Kwa wengine pia ni ivi, maana mb zinaisha tu cha maana hamna ,hii kuingia JF yenyewe hadi usubirie sana ndio inafunguka wakati nna GB1,,,,,

Wanachoweza wao ni kunitumia Meseji za kulazimisha sijui nijibu maswali gani yana sehemu A na B.,, ntashinda milioni hamsini,,
Halafu walivyo waajabu hayo maswali wanataka ujibu Kwa Salio LA kawaida, sio kama mimi ivi nimejiunga kifurushi cha wiki au cha 24hrs, wanataka uweke vocha waikate nzima nzima,,
Kinachokera kwa siku wanatuma Meseji ht elf tatu za hayo maswali yao ht kama ww hauchezi uho upuuzi ,,aisee tigo katika ili mnatukera sana wengine ,

Hizo Meseji zao wanatuma toka Namba hii 15571
 
Wezi sana hawa jamaa kwenye matangazo ya kuuza line za wanazodai za chuo unaambiwa kwa 2k unapata 4gb kwa wiki

Ukishaungwa nextime hupati 4gb tena ni ya siku hio tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afu tunaambiwa tuwe na line moja...
Unazani kuwa na kila laini tunapenda...
Unaweza usipatikane wiki...
Hasa suala la internet...
 
Kwakweli nilijisahau sikubeba line za mitandao yangu nayotumia, nilikua mikoa ya kusini aiseee nilijuta, Tigo ni mavi kabisa...
 
voda wapo vizuri kwenye intanet ila gharama za vifurushi vyao balaa na wengine ni halotel ingawa nao wana janja janja nyingi.
 
Kuondokana na hayo masms yao wakituma reply hapohapo kwa kuandika STOP hutaona tena hayo mambo

Back
Top Bottom