ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra, ndio changamoto za teknolojia hizo ndugu mdau.Tunaomba msaada ipatikane
🌷 🌷 Tulizan UlipoMimi nawahama Hawa jamaa maana hata *150*66# ukipiga haina matokeo chanya
Utahama wangapi mkuu!Mimi nawahama Hawa jamaa maana hata *150*66# ukipiga haina matokeo chanya
Hawa nao ni janga tuAu ndo yale yale ya CRDB kipind8 kile??
subiri mishahara iingie kwanza...itarudi hewaniTunaomba msaada ipatikane
North Korea wamedukua na huku pia?JP Morgan, Bank of America, Chase na mitambo ya kuongozea ndege viligoma wiki jana sembuse NMB?
Unashauriwa sana kuwa na hard cash nyumbani kwa ajili ya dharula. Hata siku haya ma-server yao sijui ma-cloud yakigoma unakuwa na pa kukimbilia.
Toka jana mzee siyo leoNMB MKONONI tangu Asubuhi haipatiksni
Wanazingua Sana NMBUtahama wangapi mkuu!