Ivi si ulisema una mtoto na mchumba unataka kuoa imekuaje ?? Ebu tuanzie hapo kwanza..ili tujue kama tabia yako ni kuduungua na kuacha... Kuhusu uyo mwanafunzi mi naona hauko serious kwasababu umesema we ni mtu mzima.. Je utu uzima wako umekusaidiaje unataka kushindwa akili na form four? Hujui hata kublock mkuu?