As/aleikum____bwana asifiwe
Wakuu ivi huu mtandao wa Airtel unamilikiwa na nani????!
Yaani ni mateso kwakweli , halafu ni kila siku na kila mahali, ukimpigia mtu simu hamsikilizani, mara mtandao unashuka gafla ,mara simu inakata gafla,
Uko kwenye internet ndio ovyo kabisa masikini ya mungu, mara mnara uko full, mara umeshuka, yaani kalaa juu ya karaa, ivi wamiliki wa huu mtandao ni watu wasio na ujuzi wa mambo ya mawasiliano au kitu gani aswaa, au wanywa double kick hawajali malalamiko ya wateja!!!!,
Kipind cha nyuma nilijua labda simu, nikaiweka laini kwenye simu ya sumsang, Bado yaleyale.
Aisee ni kero mnooo