Kero Mbagala

Kero Mbagala

maneno21

Member
Joined
Nov 1, 2021
Posts
32
Reaction score
31
Wadau wazima? Natumai kuwa wote wazima wa afya maana Mungu mkuu wa yote amewanusuru na majanga ya siku nzima,me nilikuwa na kero kidogo maeneo ya Mbagala stand ya saku ya zamani kwa nyuma Kuna stand ya bajaji yaani mvua ikinyesha kuna tope linalofanana na kinyesi kabisa tena tope lenyewe linanuka balaa inaoneka ni njia muhimu xana maana magari mengi ya shamba yanapita pale nilikuwa naomba kama Kuna viongozi wanaona au wanaguswa na kero ilo embu naombeni pafanyiwe kazi ata kwa kuweka kifusi tu maana si rafiki kwa afya kwa watu wa pale

ASANTE
 
Wahusika tupo ila kumbuka huko ni Mbagala.....hata ukichumbia ukiwaambia unakaa huko wanakwambia subiri kwanza ...pia fuatilia nyimbo ya Mbagala ya diamond
 
Ngoja tuchimbe madini baharini tutafungua nchi. Hapo tutawawekea flying over
 
Wadau wazima? Natumai kuwa wote wazima wa afya maana Mungu mkuu wa yote amewanusuru na majanga ya siku nzima,me nilikuwa na kero kidogo maeneo ya Mbagala stand ya saku ya zamani kwa nyuma Kuna stand ya bajaji yaani mvua ikinyesha kuna tope linalofanana na kinyesi kabisa tena tope lenyewe linanuka balaa inaoneka ni njia muhimu xana maana magari mengi ya shamba yanapita pale nilikuwa naomba kama Kuna viongozi wanaona au wanaguswa na kero ilo embu naombeni pafanyiwe kazi ata kwa kuweka kifusi tu maana si rafiki kwa afya kwa watu wa pale

ASANTE
Picha picha tuone
 
Back
Top Bottom