Kero Mashine Za EFD za TRA

hamtwice

New Member
Joined
Apr 29, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Serikali iangalie upya hili swala la mashine za efd inakuwa zinafikia kimoko ya ukishatoa jumla ya idadi za risiti Z reports 1850 hivi inakuwa kimoko inakuhitaji kuninua mashine nyingine ambayo ni si chini ya 570,000 tshs inaumiza sana kwa mfanyabiashara wa kawaida!
 
Wasiliana nasi ili uweze kununnua mashine za efd ambazo ni digital ambazo ni gharama nafuu na Bure kutoka TRA.Piga 0742405440
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…