Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 3,885
- 3,808
Wakuu Shalom,
Kichwa cha hoja hii kinajieleza nipo katika moja ya Kituo Cha afya nimemleta mtoto akiwa amebanwa na kifua lakini cha ajabu mpaka dakika hii sijpatiwa huduma kwa sababu mfumo haufanyi Kazi naomba ufafanuzi kwa mamlaka husika je huu ni ungwana?
Kwanini kama mambo haya hatuyawezi tukabaki na madaftari yetu? Hii sio sawa kabisa mtu unawahi Kituo cha afya unakumbana na longolongo kama hizi sasa jamani mnataka watu wa kipato cha chini tuwe tunakatishwa uhai kwa sababu za kizembe namna hii? Kosa letu ni Nini kuzaliwa masikini au shida ni nini majibu nnayopewa hapa ni kwamba siwezi kuhudumiwa kisa Hamna mfumo lakini wataalamu wapo!
Naomba Waziri mwenye dhamana kama upo hapa mulika Kituo cha Afya Ipogolo Manispaa ya Iringa hizi ni dalili za wazi za rushwa tukimbilie wapi kama Kodi zetu wenyewe zinakua ndio njia panda ya uelekeo wa mauti?