Kero kwenye huduma ya Tigo Pesa

Kero kwenye huduma ya Tigo Pesa

Roman Empire

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Posts
620
Reaction score
1,422
Kuanzia alasiri nimekuwa najaribu kutuma pesa kupitia huduma YA tigo pesa inagoma, hakuna maelezo YA maana zaidi YA kusema niwasiliane na huduma kwa wateja ambayo nayenyewe haipatikani.... Tigo badilikeno kama mmeshindwa fungeni ofisi zenu
 
"Ndugu mteja,huduma za TigoPesa hazipatikani kwa sasa kutokana na matatizo ya kiufundi,wataalamu wetu wanashughulikia tatizo hili. Tunaomba radhi kwa usumbufu"

Hiyo message hata mimi wamenitumia, wamenikera kweli nimeshindwa kufanya miamala ya maana leo
 
Nimekunywa bia kwa Mangi hapa anataka kuntoa roho,nilitegemea kutoa pesa kwa tigo imegoma.,Mangi hanielewi,,nawatafuta tigo waje kunitoa hapa. yaani huu ni utoto kabisa
 
heri wewe mi kunamtu kanirushia 105000 asubuhi hadi sasa haijafika
 
"Ndugu mteja,huduma za TigoPesa hazipatikani kwa sasa kutokana na matatizo ya kiufundi,wataalamu wetu wanashughulikia tatizo hili. Tunaomba radhi kwa usumbufu"

Hiyo message hata mimi wamenitumia, wamenikera kweli nimeshindwa kufanya miamala ya maana leo
Mimi awajanitumia nimeangaika mda Flani zima simu washa nikidhan ni network YA simu yangu Kumbe ni Mtandao waooo....
 
Mimi yamenikuta makubwa aisee, ninakawaida kila siku kununua bidhaa zangu Kwa kariakoo kwa njia ya Tigo Pesa ila Leo jamaa wamegoma kunipa mzigo baada ya Tigo Pesa kugoma na ilikuwa ni oder za watu...nahama haraka kuanzia Leo maana hakuna taarifa yyte ya usumbufu wao
 
Back
Top Bottom