Aisee wacha tu ndugu yangu! Hapa naangalia jinsi ndoto yangu ya kuwa na group za watalii zinavyoyeyuka kwajinsi hawa wageni wanavyolalamika sijui wataenda kusema nini huko mpaka sasa watatu wameamua kwenda zao south Africa kwa gharama zao nyingine!Umeaharibu ungeanza kwa Kusema wawekezaji wanaokubali nguvu ya Rais na kuja Tz wanakatishwa tamaa na Equity bank,
Ngoja nikaongee na Mr Collins Mukangu akizingua tunamrudisha Kenya
[emoji1][emoji1][emoji1] aseeee.Equity bank wamepungukiwa maarifa na ufanisi kwenye kazi.
Mimi niliwapambanisha na Financial institution flani ya Cyprus baada ya mimi kutumiwa hela kwa njia ya Credit card, kumbe equity hawajui kuivuta hela iliyotumwa kwa credit card, wakaishia kuniambia nimetapeliwa.
Nilihangaika nao miezi mi 4, ikabidi niwaambie wale wa Cyprus kua mimi huku naambiwa nimetapeliwa ili kama ni kweli nipotezee tuu kuokoa muda. Wale jamaa wakamind kuitwa matapeli, wakawatafuta juu kwa juu. Nikashangaa napokea email yakuombwa radhi, nikapokea na txt yakunijuza confirmation ya muamala.
Wale wa Cyprus wakanijulisha kua benki walikua hawajui kuitrack hela iliyotumwa kwa credit card, hivyo waliomba msamaha na wakaomba kufundishwa.
Aisee tena nimezitransfer kutoka kwenye account yangu ya Europe kuja ya equity bank Tanzania huwezi amini wanakataa kunipa!Pesa ni zako?
Mimi hapa napambana hawa wageni walioniamini wakabaki waende safari! Nikirudi safari njia moja kumuona waziri kama sio mh.Rais magufuli sikubali kupata strock nikiwa bado kijana kwa vitu kama hiviMnatafuta nini huko benki za uchochoroni?
Wametoa sababu gani za kutokupa hizo fedha??Mimi hapa napambana hawa wageni walioniamini wakabaki waende safari! Nikirudi safari njia moja kumuona waziri kama sio mh.Rais magufuli sikubali kupata strock nikiwa bado kijana kwa vitu kama hivi
Kila walichotaka niliwapatia ila issue niliyojifunza hawa vijana hawana exposure ya kiutendaji kibenki! Alafu inaonekana wanajilinda zaidi kuliko kutoa huduma hii nimbaya sana katika biashara!Wametoa sababu gani za kutokupa hizo fedha??
Sheria zilizowekwa na serikali ya awamu ya 5 zinawaweka kwenye wakati mgumu sana wenye bank hasa kwenye issue ya fedha za kigeni
Bado hujasema sababu za wao kugoma kukupatia fedhaKila walichotaka niliwapatia ila issue niliyojifunza hawa vijana hawana exposure ya kiutendaji kibenki! Alafu inaonekana wanajilinda zaidi kuliko kutoa huduma hii nimbaya sana katika biashara!
Sababu za hawa watu kutokunipa hizo fedha za malipo ya kuingia parks ni ukosefu ama uelewa wa mihamala ya kifedha hususani kimataifa! Nilituma nyingine kupitia CRDB BANK na zilifika na nikazipata! Namshukuru MUNGU kazi haikuharibika kwani nilifanya malipo ya parks zoote online kwa mtandao wa TANAPA na kwakutumia VISA card ile ile yakwangu ambayo hawa equity waliiona ni feki!Bado hujasema sababu za wao kugoma kukupatia fedha
Inakuwaje sheria hizo hizo zinitendee haki CRDB alafu zininyime haki kwenye hii Equity bank!?Wametoa sababu gani za kutokupa hizo fedha??
Sheria zilizowekwa na serikali ya awamu ya 5 zinawaweka kwenye wakati mgumu sana wenye bank hasa kwenye issue ya fedha za kigeni
Mimi ni mteja wa Equity Bank tangu wameingia TZ ,sijawahi kupata tatizo lolote na hao jamaa ni mmoja ya bank inayofanya vizuri sana kwa hapa Tanzania ndio maana namshangaa jamaa anavyolalamika inaonekana hakuelewana na staff aliowakutaMkuu mbona Equity wanaajitahidi sana...
Wewe itakuwa kuna mahali umekosea, weka maelezo vizuri! Kama CRDB wamekiuka taratibu kukupa pesa haimaanishi Equity nao wafanye hivyo!
Wageni hawatafutwi nakuletwa mjini kuhifadhiwa! For your information hata hizo hotel nilishazilipia 4 months ago tena online! Niko kwe game ya tourism industry sincee 2000!!! Na waliomba ushahidi wa hizo invoices na receipts nikawapatia lakini wakagomea! Wakaomba itineraries nikawapa cha kushangaza wakaomba eti kitambulisho cha mimi kufanya kazi na agent huko marekani, nilistaajabu! Kilichobaki nihiyo parks fees tu so haikuwa nahaja yakutuma hela equity bank four months ago wakati hela Inafika Tanzania In two days! Nahata kama ni joint account tuliwapatia ushirikiano mpaka wa video calls kutoka kwa mbia wangu wakataa! Wakagoma pia kuongea na my abroad bank! Walikuwa wanania ovu! But let me reminding those guys this! NILIMUOMBA MUNGU AKANIFANIKISHA, MAKAPANGA KUNIANGAMIZA KIBIASHARA LAKINI, SIKU, SAA NA MUDA INAKUJA HUYU HUYU MUNGU ATAWAADHIBU HIYO SIKU WAKIWA WAMEJISAHAU!Ndugu, inakuwaje unaleta wageni 17 alafu unakuja kuwaweka mjini eti unasubiri kufanya miamala yako ya benki. Normally wageni hutafutwa na hulipa kabla ya safari ili uweze kufanya bookings za hotel, transport nk... Wala hupaswi kuwakalisha mjoni eti benki imegoma kutoa hela. Na kwa maelezo yako nahisi account yako ni shared account.
I think CRDB wako very professional na wako very aware na nini mteja wao anachofanya! Nilichojifunza kutoka CRDB wana ushirikiano mzuri na wateja wao! Anyway! Game is over! Nilichofanya nikuwahabarisha wanautalii wenzangu wawe makini na hii bank hususani hapa Arusha yasije yakawakuta kama yaliyonikuta ukaharibu future tena mbele ya wageni! Nisingekuwa na plan B ningechafua legacy niliyoijenga for over decade! But ninauhakika soon management itafanyia kazi!Mkuu mbona Equity wanaajitahidi sana...
Wewe itakuwa kuna mahali umekosea, weka maelezo vizuri! Kama CRDB wamekiuka taratibu kukupa pesa haimaanishi Equity nao wafanye hivyo!