Super mega
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 1,177
- 2,361
Crdb ni bank ya hovyo mno,...Mimi nimelimwa 40k jana ,zaidi ni kwamba nilitoa pesa kadhaa na wakakata hapo ila jana tu imetoa shwaa ..Nikavuta bank statement mtandao unasumbua.
Wakuu hivi naomba kuuliza hivi CRDB BANK wanakata malipo ya huduma ya kutunza fedha kila siku na kwa kila muamala unaoingia mana dah sio kwa haya makato yanayoendelea yani hela ikiingia tu wanakata 4000,au 5000,kisha unapotoa wanakata sio chini ya 10000 hapo ni kwa amount kwanzia Mil.1 chini ya Mil wanakata 10000.hii imekaaje wakuu tena tukipata majibu kutoka kwao itakua vyema zaidi.asante
Mkuu ulifungua akaunti ya aina gani?Wakuu hivi naomba kuuliza hivi CRDB BANK wanakata malipo ya huduma ya kutunza fedha kila siku na kwa kila muamala unaoingia mana dah sio kwa haya makato yanayoendelea yani hela ikiingia tu wanakata 4000,au 5000,kisha unapotoa wanakata sio chini ya 10000 hapo ni kwa amount kwanzia Mil.1 chini ya Mil wanakata 10000.hii imekaaje wakuu tena tukipata majibu kutoka kwao itakua vyema zaidi.asante
Tatizo kwa sie wa vichochoroni hizo bank zingne hazina mawakala,pia hata matawi madogo hakunaaaMkuu ulifungua akaunti ya aina gani?
Sema ndio hivyo wabongo tumekariri benki ni NBC,CRDB na NMB tu.
Kuna benki kama Stanbic ni nzuri sana ni waaminifu na hata ukienda benki yao kwenda kuchukua pesa hukuti foleni unahudumiwa kama VIP ila watu wengi hawaifahamu
Bora hao wapo wengine wanaitwa Postal Bank unaweza kukaa mwaka mzima wanakuambia machine ya kuprint ATM card haifanyi kaziWakuu hivi naomba kuuliza hivi CRDB BANK wanakata malipo ya huduma ya kutunza fedha kila siku na kwa kila muamala unaoingia mana dah sio kwa haya makato yanayoendelea yani hela ikiingia tu wanakata 4000,au 5000,kisha unapotoa wanakata sio chini ya 10000 hapo ni kwa amount kwanzia Mil.1 chini ya Mil wanakata 10000.hii imekaaje wakuu tena tukipata majibu kutoka kwao itakua vyema zaidi.asante
Mkuu hii ni hatari na hawafanyii kazi hili na wana page yao rasmi hapa jukwaani dah shida sana.Kimbia mkuu,..hiyo bank ni waizi sana
Kila mtu anailalamikia hiyo bank-kuna thread kibao hapa JF za malalamiko kuwahusu.
Sijajua unakaa maeneo ya wapi ila kwa Dar ina matawi kadhaa na Atm kila mahali kwa ambayo nayafahamu ni Posta,Kariakoo na KinondoniTatizo kwa sie wa vichochoroni hizo bank zingne hazina mawakala,pia hata matawi madogo hakunaaa
Na jana na leo network karibia za benki ya NMB NA CRDB network iko chini sana na ndo wanakata hela hawa CRDB toka jana na nadhani wanakat hela kila siku hawa hii bank hapana sio nzuri.Mimi nimelimwa 40k jana ,zaidi ni kwamba nilitoa pesa kadhaa na wakakata hapo ila jana tu imetoa shwaa ..Nikavuta bank statement mtandao unasumbua.
Yani kwamba nikae niandike andiko ambalo linahitaji uhalali wako aisee pole sana siwezi kukuwekea amount wanaotumia au waliotumia wanaelewa ninachomaanisha.A Amount gani iliyoingia na amount ipi? Bila kusema hayo andiko lako halina uhalali
Ni kama hawasikii mkuu nimeona kuna wadau wengi tumelalamikia hili swala lakini Kadri siku zinakwenda makato ndo yanaongezekaCRDB, Wana makato makubwa sana..
Nafikiria miamala ya mara kwa mara nifanyie Bank nyingine
Tatizo sijui haya malalamiko hawayasikii ?