Kumekuwa na tabia ya hawa wanaotoa tiketi hasa wakati wa asubuhi kuzuia watu wasivuke kisa hawana chenji tunakuomba Dr Magufuli ufuatilie hili suala hapa kigamboni. Fanya ziara ya kushitukiza muda wa asubuhi ujionee pia tunaomba masirisha ya tiketi yaongezwe kama upande wa magogoni ili kuondoa usumbufu.