Kero Idara ya Maji Arusha

Kero Idara ya Maji Arusha

mr brocken

Senior Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
166
Reaction score
48
Nimeomba kufungiwa maji, nimeenda ofisini na kupigiwa hesabu ya vitu vyote na nikalipa, then nikaambiwa ntasubiri miezi kadhaa.

Siku imefika ya kufungiwa maji mafundi wanaanza longo longo, eti tumekosea kupiga hesabu za urefu wa bomba na pia mita haikupigiwa hesabu kwa hiyo unatakiwa ununue.

Hivi bila rushwa nchi hii hamna uwajibikaji?



 
Ukistaajabu ya Musa je ukiona ya Farao itakuweje? Hakuna wizara, idara au taasisi utakayoeda kutafuta huduma uipate kihalali. Kote nilikoenda na kupigwa danadana pamoja na kutolewa upepo nikiorodhesha hapa ni sawa na kutunga kitabu. Na kwenye kutafuta haki mwenye pesa ndiye anapewa haki!!!
 
Back
Top Bottom