KERO: Askari wa Usalama Barabarani simamisheni magari sehemu salama

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,326
6,875
Kuna hili eneo la hapa Kibaha stendi sijui ndio ya mkoa hii, hapa kuna trafiki wanasimamishaga magari pande za kushoto na kulia.

Halafu upande mwingine ndio magari yanayotokea stendi kuelekea Morogoro basi hapa sehemu huwa ni hatarishi sana aisee.

Napendekeza kwa mamlaka husika hili eneo mliangalie vyema, na trafiki akisimamisha gari basi aliamrishe libane sana upande wa kushoto pembezoni mwa barabara au kulia.
 
Back
Top Bottom