Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,185
- 79,366
Hahahaha, picha la kihindi linazidi kunoga, huku kwengine Rutto na kundi lake wanataka kumuua Alfred Mutua, kama walivyomuua Jacob Juma.Patamu hapa huku GoK imeshindwa kulipa deni Mchina nae kagoma kulipa wafanyakazi mshahara!
Inakuhusu vipi?Patamu hapa huku GoK imeshindwa kulipa deni Mchina nae kagoma kulipa wafanyakazi mshahara!
Aibu tupu..GoK pays chinese 1bn per monthInakuhusu vipi?
Mbona usishugulike na nchi yako?Aibu tupu..GoK pays chinese 1bn per month