Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Joke of the day!They are more impressive than the new ones you have.
Saf sanaCOMING SOON !! Treni za umeme zinaletwa TZ, Dar-Moro? Dar- Dom? Dar-Mwanza dakika ngapi?
By
Millard Ayo
on
February 4, 2017
http://millardayo.com/trl01/#respond
Hatimae serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya uchukuzi imesaini mkataba wa awamu ya kwanza ya ujenzi wa Reli ya kisasa itakayowezesha Treni zinazotumia umeme kuanza kufanya kazi kwa mara ya kwanza Tanzania.
Waziri wa uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema ‘Sasa hivi kutoka Dar es salaam kwenda Mwanza unatumia saa 36 ambapo kuna kilometa 1219 lakini Treni mpya za umeme zikianza kufanya kazi safari itakua rahisi zaidi‘
‘Leo tunashuhudia utiaji saini makubaliano ya ujenzi wa sehemu ya kipande cha reli kati ya Dar es salaam na Morogoro chenye urefu wa kilometa 300 na mkataba huu utakua baina ya RAHACO kampuni hodhi ya rasilimali za reli na ubia kati ya kampuni ya UTURUKI na URENO’
Kwa Wenzetu
‘Itakua kwa gharama ya USD BILIONI 1, Milioni 215, laki 2 na 82 ikijumuisha VAT USD Milioni 185 na laki 3, hii ni kwa ajili ya gharama za ujenzi kutoka Dar es salaam mpaka Morogoro‘
‘Katika Afrika Treni kubwa ambayo itakwenda spidi kubwa itakua ni ya Tanzania (Kilomita 160 kwa saa), Treni nyingine itayokua na spidi kubwa itakua ni Morocco itakua kilometa 200 kwa saa, naamini na sisi Tanzania tutabadilisha mawazo kwenye Treni ya Dar Mwanza tutakua Kilometa 200 kwa saa‘
Kwa Wenzetu
Kama hufahamu, wakati wa utawala wa Uingereza marekebisho kidogo yalifanyika kwenye usafiri wa Treni Tanzania kutoka Treni inayotumia mvuke kuja kwenye injini ya Diesel, hata hivyo miundombinu hii kwa sasa ni chakavu na mwendokasi sio chini ya Kilomita 30 kwa saa ambayo kutoka Dar kwenda Mwanza unachukua saa 36‘ – Profesa Mbarawa
‘Mda wa mradi huu wa Umeme kukamilika ni miaka miwili na nusu baada ya ujenzi kuanza, kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro Treni mpya ya umeme itatumia saa moja na dakika 16, Dar es salaam kwenda Dodoma itakua masaa mawili na nusu, Dar-Mwanza saa saba na nusu’ – Profesa Mbarawa
ULIPITWA? Tazama ajali ya Treni iliyotokea Tanzania, Mabehewa yakiondolewa na Reli ikirekebishwa Ruvu Pwani, play kwenye hii video hapa chini
First of all Mr. Physics Expert, CoG doesn't affect speed, it affects stability.a wapi kama unajua physics, hiko kichwa cha train hakiwaezi kuvuta mabehewa kwa speed hiyo! center of gravity yake ipo juu sana!
sikiliza speed yake hapa
Sikiliza ww,Kuna uzi nimefuata sehemu unajadiliwa na wataalam wa Kibongo ambao wamdadavua gharama ya ujenzi wa SGR mpya yao, jamaa wamekokotoa na kuonyesha kweli Tanzania wamepigwa balaa. Hayo mahesabu yakapowekwa wazi itakua aibu aisei. Kwamba mradi kama huu, Uturuki waliufanya kwengie kwa gharama ya $300 millions
Halafu kitu sielewi, yaani treni ya Tanzania ya kutumia umeme wanaipa kasi ya 160km/h pekee yake, wakati yetu ya umeme itakua inachana mbuga kwa 240km/h
Sikiliza ww,
Huo Uzi mm naufahamu na kuna mpuuzi 1 alihoji bila kuwa na akili kichwani!! Na naamini alijibiwa vzuri ila lbda ww umejitia upofu kujfnya hujaona jbu ila swali uliliona
Anyway alihoji, hizo gharama wakati hajui hyo company ilijenga kwa gharama hzo muda mrefu na walijenga huko Ulaya!! Sasa gharama za ujenzi hko ulaya unaweza kucompare na Tanzania? Tena miaka ishapita!!
~Cmb
Umenipa raha ''haya madude''wanadumisha mila hawa jirani zetu,kwani wahenga walisema kitunze kidumu hata leo wajukuu wanazitumia.Duu sasa haya madude ya kwenye museums ninyi wakenya mmeyatoa wapi???
Please Kenyas Government should return the current batch of 1920s trains to China...
Hahaha hii kaliPlease Kenyas Government should return the current batch of 1920s trains to China...
Wachana nampuuziSikiliza ww,
Huo Uzi mm naufahamu na kuna mpuuzi 1 alihoji bila kuwa na akili kichwani!! Na naamini alijibiwa vzuri ila lbda ww umejitia upofu kujfnya hujaona jbu ila swali uliliona
Anyway alihoji, hizo gharama wakati hajui hyo company ilijenga kwa gharama hzo muda mrefu na walijenga huko Ulaya!! Sasa gharama za ujenzi hko ulaya unaweza kucompare na Tanzania? Tena miaka ishapita!!
~Cmb
Please give me the link to the thread pia mimi nicheke.Kuna uzi nimefuata sehemu unajadiliwa na wataalam wa Kibongo ambao wamdadavua gharama ya ujenzi wa SGR mpya yao, jamaa wamekokotoa na kuonyesha kweli Tanzania wamepigwa balaa. Hayo mahesabu yakapowekwa wazi itakua aibu aisei. Kwamba mradi kama huu, Uturuki waliufanya kwengie kwa gharama ya $300 millions
Halafu kitu sielewi, yaani treni ya Tanzania ya kutumia umeme wanaipa kasi ya 160km/h pekee yake, wakati yetu ya umeme itakua inachana mbuga kwa 240km/h
Tulia tukukupe elimu, nimeona hapo juu Geza amehijo physics yenu na mimi nahoji pia. Treni ya umeme (stima) inavyo kimbia ndivyo inavyo kula umeme. Sisi tuna reli ndefu kuliko nchi nyingine ya EAC, speed 160km/h inatosha Ku balance matumizi ya umeme. Kama yakenu itaenda 240km/h na umeme itakula hivyo hivyo. So usifikiri sisi tunashindwa kuwa na trani ya mpaka 300km/h lakini lazima tupime na gharama ya umeme kwa speed.Kuna uzi nimefuata sehemu unajadiliwa na wataalam wa Kibongo ambao wamdadavua gharama ya ujenzi wa SGR mpya yao, jamaa wamekokotoa na kuonyesha kweli Tanzania wamepigwa balaa. Hayo mahesabu yakapowekwa wazi itakua aibu aisei. Kwamba mradi kama huu, Uturuki waliufanya kwengie kwa gharama ya $300 millions
Halafu kitu sielewi, yaani treni ya Tanzania ya kutumia umeme wanaipa kasi ya 160km/h pekee yake, wakati yetu ya umeme itakua inachana mbuga kwa 240km/h
Yaani nimeshangaa, we are arguing with people who doesn't have any information on anything!! Yaani nikama wametokea kwenye shimo!!It's painful to argue with uninformed people.