Kenya's military spending in 2018 IS more than Tanzania's and Uganda's combined

Kwani unaelewa mtu akiwa Off Duty? Kweli KDF kazi yake sio kulinda Wastegate, waliitwa kusaidia kuiba tu au sio? Btw watakufaje na magaidi wakati walikuwa wanajificha kwa woga? :D

Kituo cha polisi sio kambi ya jeshi linalohusika kulinda amani ya taifa.

Eti ile Battle of El Adde mlikuwa mpo on guard? au mlikuwa mmelaliana kwenye camps?
El adde kdf ilikuwa na battalion nzima lkn askari wa kdf waliopona ni 40 tu
 
joto la jiwe km600 tumejenga kwa mikopo nyinyi mnajenga kwa "pesa za ndani" ila bado hata km1 ni ngumu kuiona. Back to the topic ya dhaifu jwtz wabangua korosho vs KDF wauza mkaa na sukari.
Hahahahaha, ninakushukuru kwakuwa mkweli kwamba bila mkopo hamuwezi kufanya lolote. Sasa mtafanyaye baada ya Mchina kukataa kuwapa pesa ya kumalizia hadi Malaba, vipi mshindwe kumalizia kipande kidogo kilichobaki wakati ninyi ni " mido inkamu kantri?"
 
wilson255 budget yenyu ya jwtz ni ngapi ukilinganisha na ya Uganda afu uniambie updf hawatawachapa ka burukenge?
Ninyi budget yenu kubwa vipi hamna ndege hata moja ya kivita?, budget kubwa ya MAJI lakini Nairobi MAJI ni mgao. Kenya hata mkiwa na budget ya $1trl, hamuwezi kufanya lolote, very corrupt country na uwezo wenu wa akili ni mdogo sana kuweza kuwa na plans za maendeleo
 
joto la jiwe pia wewe kuwa mkweli kuwa hapa unabadilisha magoli, tupo kwenye mada ya dhaifu jwtz kuwa na budget hovyo. Afu pia kubali kwa "kwa pesa zetu za ndani" hamna kitu mshakamilisha awamu ya tano.

Back to topic my friend.
 
Sasa hizo silaha za nini wakati nchi imeshauzwa kwa wachina.
 
joto la jiwe tuko na zaidi ya 30 jets sidhani nyie hata moja mko nayo ama uweke ushahidi ya hata hio moja.
Hahahahaha, KDF mpo na very old F-5 zilizotengenezwa 1950s, zilikua 7 moja ilidunguliwa na Alshabab zimebaki 6 na zote zipo katika hali mbaya sana hazina uwezo wa kuruka tena.
 
joto la jiwe pia wewe kuwa mkweli kuwa hapa unabadilisha magoli, tupo kwenye mada ya dhaifu jwtz kuwa na budget hovyo. Afu pia kubali kwa "kwa pesa zetu za ndani" hamna kitu mshakamilisha awamu ya tano.

Back to topic my friend.
Hamna akili ndio sababu lazima tuwasaidie. Hivi katika kipindi kibaya kama hiki ambapo nchi yenu inakabiliwa na njaa, madeni, ukosefu wa ajira, China kukataa kuwapa mkopo na kulazimika kusitisha ujenzi wa SGR, eti mnasifia budget kubwa ya military. Failed state.
 
MAKANJAMNA ni wapi ushawahi kusikia jeshi wanavuna au kubangua korosho? Hiyo ni kazi ya wakulima na tena hiyo korosho si iliotea maghalani kumaanisha dhaifu jwtz walifanya kazi ya bure.

Sgr yetu km600 na inafanya kazi tayari, yenu pesa mlizotenga za ndani hata km1 hamuwezi onyesha...bure kabisa LDC
Naona unatafuta bwana TZ
 
El adde kdf ilikuwa na battalion nzima lkn askari wa kdf waliopona ni 40 tu
na ndio maana akaacha kunimention au kureply post. Kumbe anaona aibu jeshi lake lipo on guard limemalizwa halafu anataka kufananisha na watu waliokuwa off duty.
 
Jw ilipoteza askari 14 kwenye ambush ya masaa 13 ambayo kisheria jw hawakutakiwa kujibu mashambulizi zaidi ya kujirinda tu kinachoshtua zaidi washambuliaji inasemekana ni special force .......

Lkn KDF walishambuliwa kwa nusu saa tu battalion nzima wakapona watu 40 na magaidi waliteka vifaru na mizinga
na ndio maana akaacha kunimention au kureply post. Kumbe anaona aibu jeshi lake lipo on guard limemalizwa halafu anataka kufananisha na watu waliokuwa off duty.
 
Back
Top Bottom