Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,676
- 11,110
Kwa hiyo unataka kusema kwenye el ade battle hamkuwa na silaha. East Africa nzima jeshi lenu no dhaifu hata muwe na bajeti ya matrilion vita ni ujuzuzi jiranichilubi el ade ilikuwa mabomu, makombora na risasi. Hapo kongo ilikuwa ni mapanga tu tena watoto wadogo.
Kama dhaifu jwtz ni wanaume waingie somalia wasaidiane na wenzao kina burundi, uganda, rwanda, kenya na ethiopia na mkumbuke pale sio comoro kwa chipsi mayai au kuvuna korosho.