lelooo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 422
- 364
Nauhakika walisikia tanzania wana majengo yanajengwa yatazidi ilo. mmmh wakaona hapana tuweke fimbo ili letu liwe refu.Bwahahahaha, wamefunga mnara wa safaricom juu ya jengo, just to make it higher.![]()
![]()
![]()
![]()
af mi nilikuwa naisikiaga nairobi ila bahati nzuri nilienda july nikakaa had this october na cbd yao nimeizunguka sana tuu.nimegundua hawa watu wanajisifu vitu bure tuu majengo yakizamani mengi,nenda upaone.
