Kenya's $3.2 Billion Train Project Beats Nigeria's $12 Billion Train Project

Lol look at the giant of africa terminus...
5445141_traveltripnigeriatgene3jpg73e6aa2c4cb677ae_jpeg346ad0805310fff1235da88f855fbe5c
 
Mkumbushe kuwa tayari wachina wamepewa kazi ya kupanua bandari ya dar! Deal imeshasainiwa!
Na pia, kwanini Kenya inajitapa kwa kujengewa reli na wachina? Kama wao ni mighty wa EA mbona hawaku afford kujengewa na mjerumani au muingereza? Wao miaka ya 70 hawaku jihusisha kwa lolote na mchina. Leo imekuaje au umasikini umewakimbiza kwa mchina!
 
Mchina ashawaweka kati hawawez kufurukuta tena! Ndo maana hata hawataki kuskia kuwa wamepigwa! Kisa tu ni kitu hakikuwepo na wamekipata ndo bas tena!
 
Hata kama Jubilee ilifyeka part ya fedha ya hii sgr yetu watu fulani wanavyodai- na ninaamini kweli kuna part of that money iliporwa in a way.....at least wamefanya sumthin substantial, hata macritics kwa upande fulani wanaweza kukubali. Lakini hii ya Nigeria bana. Haiwezekani hiyo kuwa 12bn$.
Pesa zilipunjwa hapo vinoma.

Reli iliyojengwa tayari Abuja-Kaduna ni km 187 na thamani yake ni US$876m. Hiyo US$12b ni kwa mradi wote Lagos-Kano. Sasa hivi wanajenga kipande cha Lagos-Ibadan (km 156) kwa gharama ya U$1.53b.
 
Mkumbushe kuwa tayari wachina wamepewa kazi ya kupanua bandari ya dar! Deal imeshasainiwa!

Nilisoma sehemu kuhusu mkopo aliowapa Mchina kwa hiyo bandari na atajenga japo huwa mnatupigia makelele kuhusu mikopo.
Kuna wale akina Mwanzi1 na kilam huzungumzia sana kuhusu mikopo yetu.
 
Mkopo sio mbaya ila uwe na tija tu. Mkopo wa kuimarisha bandari ya Dar utatoka Benki ya Dunia (80% ya mradi), 20% pesa zetu.

Ila kama mnajiita nchi tajiri halafu hata kujenga km 2 za barabara hadi mpewe mkopo na China mjue hapo kuna tatizo.
 
Nilisoma sehemu kuhusu mkopo aliowapa Mchina kwa hiyo bandari na atajenga japo huwa mnatupigia makelele kuhusu mikopo.
Kuna wale akina Mwanzi1 na kilam huzungumzia sana kuhusu mikopo yetu.
Mkopo unaoleta uhalisia hauwezi kupigiwa kelele! Kinachoongelewa na hao ulowataja ni ile tabia yenu ya kutokubali kuwa kwenye mikopo ya mchina mlopewa hasa ya sgr watu wamepiga cha juu kweli kweli
 
SC20170613-224743.png
SC20170613-224753.png
SC20170613-224801.png
SC20170613-224853.png

I wonder what our southern brothers will come up with... with their 'pesa yetu' slogan.
 
Reli iliyojengwa tayari Abuja-Kaduna ni km 187 na thamani yake ni US$876m. Hiyo US$12b ni kwa mradi wote Lagos-Kano. Sasa hivi wanajenga kipande cha Lagos-Ibadan (km 156) kwa gharama ya U$1.53b.
The point is, hizo mijengo are not worth the money.

870bn$ sio pesa kidogo, it is more than 4/5th of a billion, Kwa hiyo distance kidogo tu. That money could have afforded better, and more than that, for sure.
 
Mkopo unaoleta uhalisia hauwezi kupigiwa kelele! Kinachoongelewa na hao ulowataja ni ile tabia yenu ya kutokubali kuwa kwenye mikopo ya mchina mlopewa hasa ya sgr watu wamepiga cha juu kweli kweli

Ndio zenu, huwa mnapindisha pindisha ili kuimba nyimbo za CCM, mnafuata mkumbo na kusifia kila kitu wanachosifia na kuponda kila wanachokiponda.

Madeni mnaendelea kujiongezea wakati mlikua mkitupigia makelele ya debt to GDP, leo hii mkiulizwa mnasema yenu ina tija eti yetu ndio ya ovyo, halafu huu wimbo wa kwamba tulipigwa na Wachina mlikaririshwa na CCM ili msihoji wanachokifanya. Mpo watu rahisi sana wa kuendeshwa endeshwa maana nyote hufuata mkumbo na kutiririka kwa pamoja kiajabu ajabu na ndio maana mumepigwa miaka yote hii kwenye madini, yaani ni aibu sana kwenu nyie kuchekelea Kenya wakati jameni niliona ripoti mumepigwa kizembe zembe $35B, zaidi ya nusu ya GDP yenu. Mpo watu wa ajabu sana nyie.

Nimeomba siku zote ajitokeze Mtanzania tujadili kitaalam adhihirishe tumepigwa kivipi kwenye reli, lakini hakuna anayethubutu, huwa mnaimba kama mazombi tu, ooh Wakenya wamepigwa..... Mjifunze kujadili kitaalam kama kweli kuna baadhi yenu wamefaulu kuingia darasa la shule.
 
Haijalishi hata kama aliyejenga ni kiumbe kutoka sayari nyingine, cha msingi tunayo reli ya kisasa na muundo mbinu ambao haupo kwenye nchi yoyote ya EAC na Afrika ya Kati. Leo hii Waganda, Wanyarwanda, Wasudani, Warundi, Batoto ba Kongo na hata Watanzania wameanza kufuata mizigo yao Nairobi badala ya safari yote ya kwenda hadi Mombasa. Tumefupisha safari kwa kilomita mia tano na tunaendelea na ujenzi wa awamu ya pili ili kuwakaribia zaidi.

Nye hapo bado mnawaza mambo ya makinikia ambayo mumepigwa kizembe zembe kwa miaka yote hii.
The truth is,mmeibiwa na wachina,over!
 
Ndio zenu, huwa mnapindisha pindisha ili kuimba nyimbo za CCM, mnafuata mkumbo na kusifia kila kitu wanachosifia na kuponda kila wanachokiponda.

Madeni mnaendelea kujiongezea wakati mlikua mkitupigia makelele ya debt to GDP, leo hii mkiulizwa mnasema yenu ina tija eti yetu ndio ya ovyo, halafu huu wimbo wa kwamba tulipigwa na Wachina mlikaririshwa na CCM ili msihoji wanachokifanya. Mpo watu rahisi sana wa kuendeshwa endeshwa maana nyote hufuata mkumbo na kutiririka kwa pamoja kiajabu ajabu na ndio maana mumepigwa miaka yote hii kwenye madini, yaani ni aibu sana kwenu nyie kuchekelea Kenya wakati jameni niliona ripoti mumepigwa kizembe zembe $35B, zaidi ya nusu ya GDP yenu. Mpo watu wa ajabu sana nyie.

Nimeomba siku zote ajitokeze Mtanzania tujadili kitaalam adhihirishe tumepigwa kivipi kwenye reli, lakini hakuna anayethubutu, huwa mnaimba kama mazombi tu, ooh Wakenya wamepigwa..... Mjifunze kujadili kitaalam kama kweli kuna baadhi yenu wamefaulu kuingia darasa la shule.
Eurobond interest rate yenu ni nearly double digits, for us at 6% we declined we wait till 3%! That's Magu for u..

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Tuñaenda na vyote,SGR na Makinikia,alafu nynyi wakenya,hamtumii akili,mnapaswa kuelewa kwamba,na sisi tunajenga ya kwetu,na sio nyinyi tu,acheni wivu,mnatamani kila kitu kiwe kwe nu tu,.

Hata tukivitamani nyie wenyewe haviwafaidi mnajenga nchi za wazungu tu, mumeliwa hadi mumebaki mahandki tupu. Tatizo nyie wavivu, hamtaki kusoma mikataba, aisei hadi kampuni haijasajiliwa ipasavyo lakini inawatafuna kweli kweli. Nawaonea sana huruma nyie.
 
Ndio zenu, huwa mnapindisha pindisha ili kuimba nyimbo za CCM, mnafuata mkumbo na kusifia kila kitu wanachosifia na kuponda kila wanachokiponda.

Madeni mnaendelea kujiongezea wakati mlikua mkitupigia makelele ya debt to GDP, leo hii mkiulizwa mnasema yenu ina tija eti yetu ndio ya ovyo, halafu huu wimbo wa kwamba tulipigwa na Wachina mlikaririshwa na CCM ili msihoji wanachokifanya. Mpo watu rahisi sana wa kuendeshwa endeshwa maana nyote hufuata mkumbo na kutiririka kwa pamoja kiajabu ajabu na ndio maana mumepigwa miaka yote hii kwenye madini, yaani ni aibu sana kwenu nyie kuchekelea Kenya wakati jameni niliona ripoti mumepigwa kizembe zembe $35B, zaidi ya nusu ya GDP yenu. Mpo watu wa ajabu sana nyie.

Nimeomba siku zote ajitokeze Mtanzania tujadili kitaalam adhihirishe tumepigwa kivipi kwenye reli, lakini hakuna anayethubutu, huwa mnaimba kama mazombi tu, ooh Wakenya wamepigwa..... Mjifunze kujadili kitaalam kama kweli kuna baadhi yenu wamefaulu kuingia darasa la shule.
Hiyo thread uliyoanzisha kuomba mjadala wa kina iko wapi?
 
Nigerians think they are the best ...Giants of Africa!!! hehehe...they are soo idiotic....true...being brn Nigerian is a curse...also being born in Tz is a curse...those guys are stupid as f**k...
giant of africa=Nigeria
Idiots of africa=Tanganyika
I have no idea the motivation behind this post but it is exceedingly insulting
 
Back
Top Bottom