Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
NairalndHehehe noma
Naija ooh!
Hehehe nimepitia bora wao hukubali panapo ukweli sio kama hawa wenzetu maskini jeuri.
Mngekuwa mmejenga kwa akili zenu tungewaona wa maana! Kawajengea mchina alafu mnajidai. Any country can use the Chinese to build the same thing. Kwahiyo, there is nothing special na hiyo railway na matreni ya zamani mabovu! Get away.Hehehe nimepitia bora wao hukubali panapo ukweli sio kama hawa wenzetu maskini jeuri.
That's a country with Giant of Africa syndrome just like Kenya...Ni KUUUBWA,,, Nigeria's New Sgr Terminus
View attachment 522996
Pictures Of 3 Train Stations In Kenya - Travel - Nigeria
Kutana na Mnigeria umuambie halafu uskie atakavyojibu!Duh, Nigeria bwana.
Hayo matreni mabovu na Vituo vya vibanda vya mama ntilie ndio wametumia $12bn???
I thank God I wasn't born in Nigeria.
Ufala kama huu ni Vigumu sana Kuvumilia.
Mngekuwa mmejenga kwa akili zenu tungewaona wa maana! Kawajengea mchina alafu mnajidai. Any country can use the Chinese to build the same thing. Kwahiyo, there is nothing special na hiyo railway na matreni ya zamani mabovu! Get away.
Nimeingia hiyo link ya Nairaland cha ajabu Wakenya wanadai ati the railtrack distance btn Mombasa to Nairobi is over 600 km that's a big lie over there. Unfortunately I don't wanna register myself there because I would start disputing that lie.
Huku kwengine ati ukisema, basi unachukia nchi yako, yani zile matusi utarushiwa- ni zile zinazowalenga wazazi wako. Kosa? Kusema tu haya ya ssm si mazuri ukilinganisha na za wale. Hasa, ukitaja Kenya.Hehehe nimepitia bora wao hukubali panapo ukweli sio kama hawa wenzetu maskini jeuri.