Kenya's 2018/2019 fiscal budget to hit 29 bln USD -7 bln USD more than Nigeria

shida ni kuwa most of this budget inaenda kwa wage bill...stupid Mpigs!!! we have the money Sam to build those mega infrastructure projects on our own and even leave some for industrialization...
Hii ni shida kweli kweli! I was so astonished to find that only 27.9% of Kenya's budget is set for development expenditures! As I continued reading I found that the minimum threshold as required by law for development expenditures is 30%.

I'm shook as to why the Kenyan gvt failed to meet this? Yet Sammuel999 is yelling out tht the budget is drastically increasing!

Bora hata sisi na kasungura ketu kadogo lakn we've set aside 40% for development!
 
Hiyo pesa unayosema iko wapi?, Hiyo ni bajeti inayoonyesha pesa inayohitajika kutumika sio iliyopo, ukitaka kujua kama Kenya ina pesa au haina angalia balance sheet ya nchi, kiasi gani Kenya inaingiza na kiasi gani inatumia, balance sheet ya Kenya is very very ugly, nenda uichungulie kwenye website ya wizara ya fedha ya Kenya ujionee. Pili unapaswa kuanisha vyanzo vikubwa vya mapato ya nchi, Kenya inategemea, kilimo, utalii, manufacturing, maua, construction, financial service kama vyanzo vikuu vya mapato, ukiondoa financial services, zilizobaki zote zinachechemea, ndiyo sababu balance sheet ya kenya inazidi kuwa negative year after year.
duh! umeangalia mpaka balance sheet ya Kenya...
 
Hii ni shida kweli kweli! I was so astonished to find that only 27.9% of Kenya's budget is set for development expenditures! As I continued reading I found that the minimum threshold as required by law for development expenditures is 30%.

I'm shook as to why the Kenyan gvt failed to meet this? Yet Sammuel999 is yelling out tht the budget is drastically increasing!

Bora hata sisi na kasungura ketu kadogo lakn we've set aside 40% for development!
Shida ya Kenya kama vile Jay amesema ni high wage bill kwanza ya public and civil servants. Halafu Kuna sheria inayosema huwezi punguza mshahara ya mtu hata shillingi moja. Sasa uniambie tutajinasua aje katika huu mtego. Isitoshe doctors, nurses, lecturers, police, teachers and clinical officers wanataka mshahara uongezwe. Wengine wamestrike na polisi huwa wanaenda go-slow kwa sababu hawawezi kustrike. Naona itafika mahali maji itazidi unga unless wage ishughulikiwe. The positive side ni kuwa madaktari, walimu na other workers wetu wanalipwa pesa nyingi sana kushinda wenu na wako na disposable income ya juu na standard of living ya juu. Si maajabu kumwona mwalimu wa sekondari akiendesha gari KE baada ya kufanya kazi miaka mitatu tu.
 
Tony254 mbona unajichanganya, au lengo lako ni kushindanisha na TZ?, kwamba so long as Kenya imezidi Tanzania katika eneo fulani, basi upo very comfortable hata kama ushindi huo una madhara kwa Kenya. Umeanza vizuri kwamba tatizo la Kenya ni high wage bill, baadae unasema lakini uzuri ni kwamba madaktari wa Kenya wanalipwa pesa nyingi kuliko wale wa TZ, kwasababu tu wamewazidi wale wa Tanzania unaona ni jambo zuri, huoni kwa sababu waliongezewa pesa nurses nao wanaanza kudai, clinical officers nao wameunga nyuma ya nurses, askari ndiyo hivyo wapo kwenye mgomo wa chinichini wanasubiri nurses wakiongezewa nao waibuke juu?.

Kiukweli tatizo kubwa la Kenya ni tofauti ya vipato miongoni mwa wafanyakazi na pengo lililopo kati ya masikini na matajiri, na yote haya ni athari ya mfumo wa kiuchumi wa kibepari, ubepari ni mzuri katika nchi zenye uchumi mkubwa ambapo asilimia kubwa ya wananchi wake wanauwezi wa kuishi na kupata mahitaji ya msingi, kwa nchi kama Kenya, itapata shida sana kuendelea uchumi wa kibepari, lazima kutatokea intsabilities and uncomfortabilities nyingi sana.
 
Marekebisho kidogo, uchumi wa Kenya unategemea kukua kwa 4.8% kutokana na ukame, kuporomoka kwa utalii na sintofahamu inayotokana na uchaguzi, sio 5.5% kama ulivyoripoti. Pili ninadhani bajeti maana yake ni matumizi, na siku zote mwenye busara yoyote hajisifu ni kwa kiasi gani anatumia pesa yake, huwa anajisifu ni kwa kiasi gani anavyopunguza matumizi na kuongeza kipato, ukuaji wa uchumi wowote ule unategemeana na kuongezeka kwa kipato na kupungua kwa matumizi, mbuna majirani zetu mnageuza mambo kichwa chini miguu juu?.mimi ninadhani kufanya mashindano ya kimaendeleo ni jambo zuri, sio kusifiana au kujisifu kwa kutwanga au kutumia pesa nyingi, wakati kasi ya kukua kwa uchumi inazidi kupungua.
You're talkin to the wrong horse.Pili ,unasema ati 4.8% lakini huweki reliable source pale umetoa hiyo takwimu ilhali mimi nilipata hizo takwimu jana toka hapa ...
Kenya cuts 2017 economic growth forecast to 5.5% - The New Times ...
www.newtimes.co.rw/section/read/219981/

Me thinks you're showing some hypocrisy here tuseme ukweli.
 
Hiyo pesa unayosema iko wapi?, Hiyo ni bajeti inayoonyesha pesa inayohitajika kutumika sio iliyopo, ukitaka kujua kama Kenya ina pesa au haina angalia balance sheet ya nchi, kiasi gani Kenya inaingiza na kiasi gani inatumia, balance sheet ya Kenya is very very ugly, nenda uichungulie kwenye website ya wizara ya fedha ya Kenya ujionee. Pili unapaswa kuanisha vyanzo vikubwa vya mapato ya nchi, Kenya inategemea, kilimo, utalii, manufacturing, maua, construction, financial service kama vyanzo vikuu vya mapato, ukiondoa financial services, zilizobaki zote zinachechemea, ndiyo sababu balance sheet ya kenya inazidi kuwa negative year after year.
Tuseme ukweli ,wewe unafurahia tu kuona giza na maporomoko kwa mwenzako that's why your posts are all leaning negative pia huoni mabaya waTz wakisifu aspects za bajeti yao lakini mKenya akisifu kitu tu unaharaka kuona mabaya.

Mara nyingi mwenye wivu na roho mbaya hajitokezi wazi na kusema hivyo lakini utaona tu .Sio vizuri kujionyesha mtaalam wa bajeti na uchumi pia kuona tu dosari kila mahala ilhali wale unaowakosoa wamekuzidi ...its a case of sour grapes.
 
You're talkin to the wrong horse.Pili ,unasema ati 4.8% lakini huweki reliable source pale umetoa hiyo takwimu ilhali mimi nilipata hizo takwimu jana toka hapa ...
Kenya cuts 2017 economic growth forecast to 5.5% - The New Times ...
www.newtimes.co.rw/section/read/219981/

Me thinks you're showing some hypocrisy here tuseme ukweli.
Bwana254, ningekushauri utumie jukwaa hili kama sehemu ya kujifunza badala ya sehemu ya kulumbana, mimi nilianza kwa kusema "marekebisho kidogo", ningeweza kusema, unadanganya uchumi wa Kenya haukui hivyo, sasa unaposema hypocrisy sio vizuri, kwa sababu hata mtoa hoja alipotaja 5.5%, Hakuonyesha source, na mimi nilisubiri uombe source ili nikupe.

Hii uliyoileta hapa ni from GoK, mara nyingi serikali nyingi zinaonyesha kwamba hali sio mbaya ili wasiwakatishe tamaa wananchi wake na investors, hasa serikali ya Kenya inatabia ya kuonyesha kwamba kila kitu kiko sawa, chukulia mfano walivyokua wakiwahakikishia wakenya kwamba hakutakuwa na shida ya njaa, serikali ina akiba ya mahindi mengi sana, kwa hiyo hii source yako sio reliable sana, ni vizuri kutumia independent source, ninajaribu kukutumia link ifungue usome hadi mwisho uone hali ya uchumi wa Kenya ilivyo
 
well I see
emoji23.png
emoji23.png
yaani mmelalia maskio tz...a very blessed country but very poor...:(:(:( as for kenya, most of the country is either desert or semi-desert, we dont have minerals..its only recently that we discovered oil... but we still repping EA..:):) nyie bado mnapambana na Acacia..lol!
 
Tuseme ukweli ,wewe unafurahia tu kuona giza na maporomoko kwa mwenzako that's why your posts are all leaning negative pia huoni mabaya waTz wakisifu aspects za bajeti yao lakini mKenya akisifu kitu tu unaharaka kuona mabaya.

Mara nyingi mwenye wivu na roho mbaya hajitokezi wazi na kusema hivyo lakini utaona tu .Sio vizuri kujionyesha mtaalam wa bajeti na uchumi pia kuona tu dosari kila mahala ilhali wale unaowakosoa wamekuzidi ...its a case of sour grapes.
Acha mafeelings Chalii, just swallow the bitter pill. Humu ni nyumbani mwa great thinkers, watu wachambuaji. Hii ndio style ya hizi threads humu, more of a compe style btn the two countries. Hata mtoa mada na some commentors wameikandia Tz design.

Acha kulia lia, facts will remain facts, upende usipende.
 
emoji23.png
emoji23.png
yaani mmelalia maskio tz...a very blessed country but very poor...:(:(:( as for kenya, most of the country is either desert or semi-desert, we dont have minerals..its only recently that we discovered oil... but we still repping EA..:):) nyie bado mnapambana na Acacia..lol!
Liar! Minerals mnazo, mnaibiwa na wazungu kama sisi before Magufuli. Wanasiasa wanawadanganya kuwa hamna minerals.
 
which minerals? we dont have diamond...tz has...tz has gold, tanzanite coal gas etc...sio kwamba eti hapa kenya hamna mining kabisa ila si kwa level ya tz, sa, nigeria, congo...
 
Tuseme ukweli ,wewe unafurahia tu kuona giza na maporomoko kwa mwenzako that's why your posts are all leaning negative pia huoni mabaya waTz wakisifu aspects za bajeti yao lakini mKenya akisifu kitu tu unaharaka kuona mabaya.

Mara nyingi mwenye wivu na roho mbaya hajitokezi wazi na kusema hivyo lakini utaona tu .Sio vizuri kujionyesha mtaalam wa bajeti na uchumi pia kuona tu dosari kila mahala ilhali wale unaowakosoa wamekuzidi ...its a case of sour grapes.
Bado ninasisitiza kwamba tujadili hoja tusitupiane lawama, mimi ninasoma hoja zinotolewa na wakenya ninachangia ili kurekebisha, muhimu ni wewe au mtu mwengine aweze kuchallange hoja zangu, huko kwenye majukwaa ya watanzania nako pia ninawatoa kamasi kama nitoavyo hapa, mimi ninajenga hoja na ninakuja na facts, sasa hayo mengine ya kutaka kushindanisha Kenya na Tanzania, bado na wala sipendi sana kuingia huko, wewe umeshasema Kenya inaizidi TZ, lakini nikianza kuingia kwa undani utaanza kulalamika kwamba ninapendelea TZ.
 
Shida ya Kenya kama vile Jay amesema ni high wage bill kwanza ya public and civil servants. Halafu Kuna sheria inayosema huwezi punguza mshahara ya mtu hata shillingi moja. Sasa uniambie tutajinasua aje katika huu mtego. Isitoshe doctors, nurses, lecturers, police, teachers and clinical officers wanataka mshahara uongezwe. Wengine wamestrike na polisi huwa wanaenda go-slow kwa sababu hawawezi kustrike. Naona itafika mahali maji itazidi unga unless wage ishughulikiwe. The positive side ni kuwa madaktari, walimu na other workers wetu wanalipwa pesa nyingi sana kushinda wenu na wako na disposable income ya juu na standard of living ya juu. Si maajabu kumwona mwalimu wa sekondari akiendesha gari KE baada ya kufanya kazi miaka mitatu tu.
Ndio maana mnaweza kuwa mnajisifia kwa ukubwa wa bajeti lakini kumbe inaishia kwenye mishahara!

Na tatizo kubwa kwenye ni wanasiasa kulipwa mishahara mikubwa, kila siku wanajiongezea, kwa nini professionals nao wasi demand mshahara mkubwa? Hadi wanahitaji walinzi binafsi, yote hii ni kufuja hela!

Na hiki ni chanzo cha kuwa na budget deficit kubwa!
 
we wacha zako...saa zingine pia mvua huwa inafeli...drought is real...if only we had half the arable land that tz or congo have, we would be a first world country by now...
Nyie mnasema mna uchumi mkubwa, kwa nini msianzishe kilimo cha umwagiliaji kama Egypt?

Last time mlipewa mahindi from Israel!, Una taarifa kuwa kale ka nchi ka Israel kanalingana na eneo la turkana na ni jangwa na mawe kila sehemu?

Hebu ondoeni aibu hii ya kujiita uchumi mkubwa huku watu wanalala njaa kila siku!
 
Bado ninasisitiza kwamba tujadili hoja tusitupiane lawama, mimi ninasoma hoja zinotolewa na wakenya ninachangia ili kurekebisha, muhimu ni wewe au mtu mwengine aweze kuchallange hoja zangu, huko kwenye majukwaa ya watanzania nako pia ninawatoa kamasi kama nitoavyo hapa, mimi ninajenga hoja na ninakuja na facts, sasa hayo mengine ya kutaka kushindanisha Kenya na Tanzania, bado na wala sipendi sana kuingia huko, wewe umeshasema Kenya inaizidi TZ, lakini nikianza kuingia kwa undani utaanza kulalamika kwamba ninapendelea TZ.
Jombaa wewe ungekuwa tu wakili. Unapenda debate. Mi huwa nachoka haraka na kudebate hata kama niko na facts sijui kwa nini. Hongera zako kwa kuwa na ustahimili wa kudebate.
 
Back
Top Bottom