Kenya's 2018/2019 fiscal budget to hit 29 bln USD -7 bln USD more than Nigeria

Bwana254

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
846
1,000
Ndo maana huwa tunawaambia hizi takwimu zenu ni za kwenye makaratasi hazina uhalisia mnakataa! Unataka mtu astruggle hata kujitaftia umeme?
Nenda uwaambie AfDB ,WB ,IMF na wale wanauchumi wa wizara ya fedha kwamba takwimu zao ni gushi.Wewe ni mtaalamu kuliko hawa wasomi wote wa mambo ya uchumi?
 
Bwana254

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
846
1,000
titanium yenyewe ya uko kwale kiduchu ndio unataka kuijustify na tanzanite,gold,diamond mlizonazo.naskia ata uranium mko nayo,....i just wish we had what you guys have.am sure by now tungekua 1st world...what is the problem with you seriously inafaa mkue level na SA
Na Nigeria pia wako hivo hivo ,mafuta yao mabilioni ,ardhi kubwa ya kilimo ,GDP tunaimbiwa sana kwamba ni zaidi ya $400bn lakini waone walivyo ...hata budget ya Kenya ni kubwa kuliko yao.
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
12,507
2,000
Na Nigeria pia wako hivo hivo ,mafuta yao mabilioni ,ardhi kubwa ya kilimo ,GDP tunaimbiwa sana kwamba ni zaidi ya $400bn lakini waone walivyo ...hata budget ya Kenya ni kubwa kuliko yao.
By the way hizo mabilioni za mafuta Nigeria huwa zinaenda wapi mpaka wako na budget ndogo kushinda yetu? These guys are so corrupt. I guess hiyo pesa yote wameweka kwa mfuko. Hio corruption yao imeshinda yetu na mbali.Very sad
 
Lwiva

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
6,562
2,000
emoji23.png
emoji23.png
yaani mmelalia maskio tz...a very blessed country but very poor...:(:(:( as for kenya, most of the country is either desert or semi-desert, we dont have minerals..its only recently that we discovered oil... but we still repping EA..:):) nyie bado mnapambana na Acacia..lol!
Russia iliwai kusema afrika aiwezi endelea hadi rasilimali zikimalizika kwa sababu majambazi wa kimataifa wanaujumu nchi zenye utajiri wa nishati na madini msemo mti wenye matunda ndiyo upigwa mawe ila tz tutapambana nao hao wawekezaji wa nishati na madini
 
  • Thanks
Reactions: Oii

Lwiva

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
6,562
2,000
which minerals? we dont have diamond...tz has...tz has gold, tanzanite coal gas etc...sio kwamba eti hapa kenya hamna mining kabisa ila si kwa level ya tz, sa, nigeria, congo...
Mshukuruni mungu kuwa amna minerals maana mngekuwa nayo mngemwagishwa damu na kuujumiwa na wawekezaji wa sekta za minerals ni mafia sawa na wauza madawa ya kulevya mngekuwa masikini kuliko mlivyo sasa
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
19,806
2,000
for the first time in my life, ndio nimeona the word UNCOMFORTABILITIES......
Ndiyo maana maana jf ni jukwaa la kujifunza, la muhimu ujumbe ufike, hatupo hapa kujifunza lugha, ila pia unaweza kurekebisha ukipenda, lakini tupo interested zaidi na issues au mada inayozungumziwa, jikite kwenye hoja tafadhali
 
REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,934
2,000
Mkuu umefika Nairaland ukaona wanigeria walivo na povu na chuki dhidi ya watu wa E.Afrika? Afu ni majamaa zero brain hawajui historia wala chochote kuhusu waafrika wenzao? Yaani niliyoyaona huko, acha tu. Tz ni watani wetu wa kweli, ukijaribu wanigeria utatamani uonane na mtz baada ya hiyo yaani hata kumkumbatia utamkumbatia tu! E.Afrika tusijidharau. Tz, Ke, Ug, Rw, Br ni combination ya ajab iliyo na waafrika wa kweli ndugu yangu!
Nyie wakenya ndio mpo kama Nigerian sasa amewapa za uso pamoja na ujuaji wenu arrogance and emptiness mmelamba za uso ndio mnakumbuka watz hahaha igbos nyoosha hao kiberians
 
Toyota escudo

JF-Expert Member
Oct 10, 2016
3,350
2,000
Nenda uwaambie AfDB ,WB ,IMF na wale wanauchumi wa wizara ya fedha kwamba takwimu zao ni gushi.Wewe ni mtaalamu kuliko hawa wasomi wote wa mambo ya uchumi?Mtani naona hii imekuingia kweli kweli! Naombabutulie hivo hivo! Hivi kama hizo takwimu zina unalisia, ni kwa nini mnashindwa hata kufikia ile minimum threshold mliyojiwekea kisheria?

Mwaka huu mmejitahidi kweli kweli kukusanya kodi nabmmevunja rekodi, lakini mbona budget deficit inazidi kuongezeka? Ongeza na huduma nyingine mbovu nilizosema, huo uchumi mkubwa una akisi wapi kama sio kupika ili mpate kukopesheka?
 
REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,934
2,000
Shida ya Kenya kama vile Jay amesema ni high wage bill kwanza ya public and civil servants. Halafu Kuna sheria inayosema huwezi punguza mshahara ya mtu hata shillingi moja. Sasa uniambie tutajinasua aje katika huu mtego. Isitoshe doctors, nurses, lecturers, police, teachers and clinical officers wanataka mshahara uongezwe. Wengine wamestrike na polisi huwa wanaenda go-slow kwa sababu hawawezi kustrike. Naona itafika mahali maji itazidi unga unless wage ishughulikiwe. The positive side ni kuwa madaktari, walimu na other workers wetu wanalipwa pesa nyingi sana kushinda wenu na wako na disposable income ya juu na standard of living ya juu. Si maajabu kumwona mwalimu wa sekondari akiendesha gari KE baada ya kufanya kazi miaka mitatu tu.
Kumbe Kenya ni mwalimu wa secondary.? Tanzania mwalimu wa msingi anaeza kufanya hivyo tena ndani ya miaka miwili tu, anaweza kuchukua mkopo mkubwa kwenye mabank anunue hata SUV tatu na ajenge nyumba.
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
19,806
2,000
Ndugu zetu wakenya jaribuni kuwa mnabiki kwenye mstari msiwe mnahamisha magoli mara kwa mara, huku EAC mnajinasibu kuwa na uchumi mkubwa mkimaanisha GDP, mkikutana na Nigeria wenye uchumi mkubwa mnahamisha goal position sasa mnasema bajeti kubwa, sasa vyote hivyo vina maana gani kama haviwafikii wananchi vinaingia mifukoni mwa watu wachache kutokana na rushwa, au vinaelekezwa miradi isiyo na tija kwa taifa?
 
  • Thanks
Reactions: Oii

REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,934
2,000
titanium yenyewe ya uko kwale kiduchu ndio unataka kuijustify na tanzanite,gold,diamond mlizonazo.naskia ata uranium mko nayo,....i just wish we had what you guys have.am sure by now tungekua 1st world...what is the problem with you seriously inafaa mkue level na SA
Hahaha 1st world from the tail, you better shut up where you are by then even with such little? You just poorer than yesterday's and that's it
mama nginaa is fixing you to the maximum
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
12,507
2,000
Ndiyo maana maana jf ni jukwaa la kujifunza, la muhimu ujumbe ufike, hatupo hapa kujifunza lugha, ila pia unaweza kurekebisha ukipenda, lakini tupo interested zaidi na issues au mada inayozungumziwa, jikite kwenye hoja tafadhali
Huyo dogo alikuwa anakukejeli. Hakuwa anakupongeza kwa lugha nzuri. He was just being sarcastic
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
12,507
2,000
Kumbe Kenya ni mwalimu wa secondary.? Tanzania mwalimu wa msingi anaeza kufanya hivyo tena ndani ya miaka miwili tu, anaweza kuchukua mkopo mkubwa kwenye mabank anunue hata SUV tatu na ajenge nyumba.
Hahaha wacha nicheke tu
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
12,507
2,000
Ndugu zetu wakenya jaribuni kuwa mnabiki kwenye mstari msiwe mnahamisha magoli mara kwa mara, huku EAC mnajinasibu kuwa na uchumi mkubwa mkimaanisha GDP, mkikutana na Nigeria wenye uchumi mkubwa mnahamisha goal position sasa mnasema bajeti kubwa, sasa vyote hivyo vina maana gani kama haviwafikii wananchi vinaingia mifukoni mwa watu wachache kutokana na rushwa, au vinaelekezwa miradi isiyo na tija kwa taifa?
Niruhusu niongee Kiingereza, kiswahili kina wenyewe.
There is no contradiction in what Kenyans are saying about Nigeria. A country with a humongous GDP like Nigeria is also expected to have a huge budget. It is very ironical that NG has the biggest GDP in Africa but has a relatively tiny budget. Wewe huoni hapo Kuna tatizo?
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
19,806
2,000
Niruhusu niongee Kiingereza, kiswahili kina wenyewe.
There is no contradiction in what Kenyans are saying about Nigeria. A country with a humongous GDP like Nigeria is also expected to have a huge budget. It is very ironical that NG has the biggest GDP in Africa but has a relatively tiny budget. Wewe huoni hapo Kuna tatizo?
Kiingereza sikijui vizuri nitaendelea na Kiswahili chetu mwanana, hivi tajiri anayetumia pesa ndogo kwa mwezi katika matumizi yake ya kila siku, na masikini anayetumia pesa nyingi tena zaidi ya tajiri katika matumizi yake, nani yupo makini na maisha?
 
kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,495

Hapo kweli kuna tatizo, ulipisema ilibidi niangalie budget yao nikashangaa almost inalingana na yetu!

Lakini matatizo ya Nigeria na kenya yanafanana, GDP kubwa lakini hakuna uhalisia wa hiyo GDP kwenye maisha ya mtu mmoja mmoja!

Nashangaa zaidi sisi hapa LDC mtu wa chini ana maisha mazuri sana kuliko mtu wa non-LDC anayeishi kenya na Nigeria, hata SA.

Labda ntapitia ile ya Egypt na mataifa mengine ya north nione wao wakoje!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom