mh, mbona siwaoni hapa wale wapiga debe kina
MOTOCHINI Masunga Maziku na kundi lao?
MK254 akisema mko motivated na chuki mnamwona wa hovyo... sasa mmeshindwa kutoa hata hongera kwenye swala zito kama hili? jameni mh? anyway HONGERA ndugu zetu wakenya kwa kukabilia kufanikisha project kubwa kama hii!