Kenyans Transacted 5 Times Tanzania's GDP on Safaricom's MPESA in 2021 Alone

kennedy0000

JF-Expert Member
Apr 14, 2012
4,316
3,683
In the last financial year ending March 2022, Kenyans transacted close to Ksh30 TRILLION. ($250 billion) on Mpesa.
That's more than the GDPs of all EAC countries combined.
That's impressive, but scary.

I don't think they will rest until the last paper note is taken out of circulation.

saf.JPG

Hizo ni propaganda

Lol. 🤣 🤣 🤣

You can work your way backward. Safaricom had revenues of Sh107 BILLION from Mpesa alone.

They retain something under 0.5% in fees per transaction on average. (The higher the transaction, the lower the fees)
You'll get the same figure.
 
Waaaapiiiiii
 
Hapa nilipo natafuna bigijii ya kutoka Kenya, leo asbh nilinunua white wash kutoka Kenya
 
In the last financial year ending March 2022, Kenyans transacted close to Ksh30 TRILLION. ($250 billion) on Mpesa.
That's more than the GDPs of all EAC countries combined.
That's impressive, but scary.

I don't think they will rest until the last paper note is taken out of circulation.

View attachment 2393952

Halafu watu million 4+ hawana chakula wanalala njaa.
 
Ninaamini wa tanzania wengi hawatoamini lakini huu ni uhalisia mchachu. Kenya imeweka mazingira rafiki sana kwa matumizi ya pesa Kwa njia ya simu. Ukitaka kununua bidhaa yeyote yenye bei chini ya milioni 5 Kwa njia ya cm bila ya kukatwa hata thumni. Ninamaanisha, wakenya wamewezeshwa kufanya malipo yote kuanzia kulipia nauli, malipo ya dukani, baa nk.. bila ya kukatwa hata thumni. So ni maamuzi ya mtu kubeba pesa.
Sisi juzi juzi tu kuwithdraw 10, 000 tulikuwa tunakatwa hadi 1800, kwa Kenya hapo wangekatwa kama 300. Mnategemea tuwe nao sawa????
 
Hiyo pesa ni nyingi Sana kupita mtandao mmoja,huko nyuma tz tuliongoza kwa transactions za simu,tumeweka tozo ili wananchi wachangie nchi kujikwamua kiuchumi
 
I'm a financial student bruh, tozo kwenye miamala ya cm ziliinufaisha serekali na kuzitia hasara kubwa sana mskampuni ya simu. Serekali ilipoamua kujinufaisha Kutokana n miamala ya simu kibepari n bila kutumia hekima, wananchi wengi waliokuwa n matumizi mskubwa Kwa njia ya simu walipunguza matumizi yao na kubakisha miamala isiyoepukika. Hapa serekali ilifeli, ilikuwa n wazo zuri ila no brains kwenye kulitekeleza. Wananchi tunategemea viongozi watumie hekima kuiendesha nchi bila kuwakandamiza wenye hali ya chini. Hivi walishindwa nn kuongeze tozo kwenye bidhaa za kujiburudisha kama soda, pombe zote au kuongeze tozo kwenye imported goods ambazo hata sisi tunazimanufacture?? Mfano, sisi tuna pombe zetu lakini mashelves maduka ya pombe yamejaa pombe kutoka nchi za nje, kwann bidhaa kama hizi ziliachwa wakaamua kwenda kuwakandamiza watu wenye hali ya chini?? Too unfair
 
Acha kelele,changia maendeleo ya nchi yako,hivyo vinywaji wanatumia wangapi!?..miamala ya simu itapungua lakini haiwezi kwisha
 
Acha uzezeta wewe. Uzalendo kisiwe kivuli kinachowapa audacity viongozi kuwaumiza wale wa hali ya chini. Ctoshangaa hata hao viongozi wanaweza kuwa hawajui bei ya sukari kilo1, unga au lita ya diesel ni sh ngapi! Wao wanatumia resources za serikali kuanzia chakula, wanapoishi hadi usafiri wao.
Ninachomaanisha, wakati wa maamuzi kwenye maswala tatanishi kama hili, serikali inatakiwa ifanye tathmini *huo uamuzi una athari gani kwa walipa kodi haswa wale wenye hali ya chini??? Nje ya hivi, wananchi watateseka sana maana maamuzi yanayofanya hayana athari yeyote kwao ila wananchi
 
Na ruzuku unaweka wewe unayejua Bei!?
 
Back
Top Bottom