Kenyans stuck in "50km" traffic jam

Kenyans stuck in "50km" traffic jam

Black Sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
35,279
Reaction score
61,241
1447997295341.jpg
 
:eek2::eek2: kenya si kuna fly overs... vp tena
 
Zip lkn viongozi wa Kenya (wengi wao) ni vilaza na hawana akili wamejenga flyovers kwenda mashambani kunaitwa Thika, yaani wametumia fedha nyingi mahali ambapo hapakuwa na umuhimu mkubwa ukilinganisha na maeneo mengine matokeo yake ndiyo hayo hata baada ya kutumia mabilioni kujenga superhighway bado wanakaa kwenye foleni ya kilometa 50!
 
Tena kwa masaa 24 ni aibu
 
wewe huoni hapo ni nje ya mji kabisa? ulitaka hizo flyovers wakajenge huko maporini?
 
Back
Top Bottom