Kenyans in the diaspora sent home $244 million (Sh24.82 billion) in December Alone!

Kwa kifupi, hizo ni kiasi sawa na pesa ambazo Barrick waliahidi Tz baada ya kuwatafuna madini kwa miaka yote.

Hongera diaspora wetu, sio wabeba mabox na wazamiaji.
Ama kweli Kenya's greatest resource is its Human Resource unlike other countries mostly dependent on minerals...
Yani ukiondoa wakenya from the table Uchumi wa nchi unapotea, lakini kuna nchi zengine ukiundoa wananchi kwenye picha bado Uchumi wa nchi unabaki vile vile manake madini na malighafi ndo yanachangia pakubwa...
 
Great point!. This analysis deserves PHD!!
 
Point ni kwamba wakenya walio ng’ambo wanalete mali nyingi kuliko sector nzima ya Utalii Tanzania

Hujajua kwamba wanaoleta pesa tz za utalii sio watz.

Na unacheka.yaani $240 bln kutoka kwa watu wa mataifa,sijajua diaspora wanaongiza pesa ngapi,hivi vitu hatufuatiliagi.
 
Ama kweli Kenya's greatest resource is its Human Resource unlike other countries mostly dependent on minerals...
Yani ukiondoa wakenya from the table Uchumi wa nchi unapotea, lakini kuna nchi zengine ukiundoa wananchi kwenye picha bado Uchumi wa nchi unabaki vile vile manake madini na malighafi ndo yanachangia pakubwa...

See the difference mzee,na tukiwaambia hii inchi ni heaven mnataga maboga‍♂️‍♂️‍♂️
 
Hujajua kwamba wanaoleta pesa tz za utalii sio watz.

Na unacheka.yaani $240 bln kutoka kwa watu wa mataifa,sijajua diaspora wanaongiza pesa ngapi,hivi vitu hatufuatiliagi.
Data ipo, sema ni wewe mzembe ama labda uko na aibu kuleta data yenu hapa 😂😂😂

Yearly remittance ya Tanzania diaspora ni 456 million dollars, equivalent to what Kenyans send in 2 months!
Tanzanian diaspora sends home Sh1tr yearly
 
Awamu ya NNE ilijaribu kupendekeza tuwe na uraia pacha tena Mh. Membe alilifafanua sana lakini shuka LA ubaguzi uchwara hakusikilizwa ila hela za diaspora zinasaidia sana uchumi wetu
Picha nzuri ni kuwa ni karibu mauzo ya mwaka Jana korosho. Lakini sijui kama wanathaminiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kweli Kenya's greatest resource is its Human Resource unlike other countries mostly dependent on minerals...
Yani ukiondoa wakenya from the table Uchumi wa nchi unapotea, lakini kuna nchi zengine ukiundoa wananchi kwenye picha bado Uchumi wa nchi unabaki vile vile manake madini na malighafi ndo yanachangia pakubwa...
Nyie majamaa mnatia aibu kweli ,kipindi wenzenu tunakomaa nchini kwetu kujenga nchi,nnyinyi mnashangilia pesa za mahouse girl na waosha tanyee za wazungu. By the way hii inaleta taswira kuwa kuishi Kenya hakuhamasishi like in tz ambapo wabongo siku hizi hawawazi kujidhalilisha ng'ambo.

Pimbi mkubwa wewe. Watu wanawekeza kwao bana, huo ndio uzalendo. Serikali nayo imewavutia kwa kuwashirikisha kwenye baadhi ya maamuzi kuhusu maendeleo ya nchi. Wakenya wanachapa kazi bana na sio kwenye ngazi za chini pekee yake. Acha unafik.
 
Hizo ni za zawadi wametuma dada zao wa ng'ambo,zimehifadhiwa

remits kwa kimombo si ndo jina lake ,..lkn ni kwamba izo pesa zitaingia ktk mzunguko wa pesa they take off purchase some goods, service so inaleta tija
 
Nyie majamaa mnatia aibu kweli ,kipindi wenzenu tunakomaa nchini kwetu kujenga nchi,nnyinyi mnashangilia pesa za mahouse girl na waosha tanyee za wazungu. By the way hii inaleta taswira kuwa kuishi Kenya hakuhamasishi like in tz ambapo wabongo siku hizi hawawazi kujidhalilisha ng'ambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wakenya wanatuma hela pesa nyingi kuliko pesa ambazo Tz inapata kwa utallii, ...... yani biashara ya mbuga,hoteli zote mapato yake hayafikii hela zinazotumwa na wakenya nyumbani!!!!!!
 
Back
Top Bottom