Kenyans crowned IAAF Male athlete of the year

Kwa wale Wadanganyika hawajui Sports, Kipchige is now officially the Best athlete of the Year.
 
Hebu rudia tena huo utumbo...
unafikiria wakenya wako bongo pekeake...giant of east and central...mkenya ana invest popote pale east and central africa..hela iko na wengine kupanuwa matawi kw ajili ya competition...

Diamond zaid ya east and central wapi tena anapendwa zaidi...fan base yake bado hija grow buda.na hko ulaya akienda show zake haitwi na wazungu bro..sana sana wakenya wenye hela kutaka kujiliwaza na ngoma za africa..unabisha
 
Wacha kujidanya...kwhvyo wataka kusema wasafi ndio wasanii wa kwanza bongo kupiga sho kenya...
Diamond keny ndiyo ilimtoa africa...ogopa deejayz anaifahamu sana..au unabisha
 
Wewe ni kichaa, Diamond ndiye mwanamuziki bora kabisa Africa kwa sasa. Angalia you tube ya show za Diamond katika nchi kama Madagascar, Namibia, Mayotte, USA, Canada, UK, Rwanda, Zimbabwe, Malawi,........

Kenya zaidi ya kujipendekeza kwa wanamuziki wa Tanzania wenye majina makubwa na kuwaita kila Mara kuja kuperform na kuwapa mapokezi ya VIP, sisi hatuwajui wala kuwathamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…